Hii ofa mpya ya airtel ikoje

Dah! Kwa akina sie hizo teminology na technical settings tutaweza kweli??

Mwisho wa siku watumiaji wote wa Modems tutakua mafundi wa IT sasa. Mweee.....!!??

usiogope mkuu......hiki kipya ukikiweka tu....unaendelea kubonyeza taratibu....huumizi akili yako.......
 
mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
So inamaana hamna offer yoyote unapata modem tupu sio?
 
e2themiza@ nimejaribu kuforce 3g mpaka nimechoka..aidha inagoma kukonnnect au inajidiconnect baada ya dakika kadhaa
 
e2themiza@!
Umeona comment hapo juu?

Mie sijalalamika isipokua nazungumzia kwa akina sie tusio na hizo idea za settings inakua shughuli kwelikweli, mbali ya kufanya hizo settings, terminology tu kasheshe.

Kuna settings za free internet ziliwekwa hapa kwa kutumia opera mult-(nini...nini...sijui...) nikadandia treni kwa kutamani vya ubwelele..ilikua ni shughuli mwishowe nimeishia kubrowse kwa hiyo opera lakini inakula mpunga vilevile, kuna sehem nilichanganya mambo ile kubrowse nikakutana na message ''what do you need to do'' nilichomoka fasta wasije kamata ip adress ya simu yangu wakanishughulikia kwamba nilikua na attempt froud.
 
usiogope mkuu......hiki kipya ukikiweka tu....unaendelea kubonyeza taratibu....huumizi akili yako.......

Poa dear thanks!
Hebu tumiatumia kwanza kama kamwezi hivi then ntakucheck kama bado iko poa, then niwaibukie.
 
e2themiza@!
Umeona comment hapo juu?

Mie sijalalamika isipokua nazungumzia kwa akina sie tusio na hizo idea za settings inakua shughuli kwelikweli, mbali ya kufanya hizo settings, terminology tu kasheshe.

Kuna settings za free internet ziliwekwa hapa kwa kutumia opera mult-(nini...nini...sijui...) nikadandia treni kwa kutamani vya ubwelele..ilikua ni shughuli mwishowe nimeishia kubrowse kwa hiyo opera lakini inakula mpunga vilevile, kuna sehem nilichanganya mambo ile kubrowse nikakutana na message ''what do you need to do'' nilichomoka fasta wasije kamata ip adress ya simu yangu wakanishughulikia kwamba nilikua na attempt froud.

Mkuu kwenye red umenifanya nicheke saaaaana....lol
Ulidhania wenyewe wamekushtukia na kakutumia msg?
 
mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
Ungekuwa mtihani au interview peke yako ndie uliyeshinda ,jamaa kaulizia kuhusu hiyo modem na prom yake lakini majibu yanayotoka hapo ni tofauti ,kama hujui kitu ni afadhali ufunge bakuli,kuliko kubwabwaja vitu ambavyo viko nje ya kilichoulizwa,si ajabu ndio maana tunapigwa mabao kwenye mitihani na kwenye interview za kuomba kazi
 
mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....

Asante naenda kuinunua kesho
 
Hivi huu ujinga wa hivi unatakiwa kuripotiwa wapi? TCRA au Tume ya ushindani? Mtu anatangaza nchi nzima kwenye magazeti, kwenye website, kwenye mabango eti ukinunua modem internet bure miezi sita, wakati anajua kabisa hicho kitu hawezi ku-offer. Au ndio ile mambo ya invitation to treat, ya kina Mr Carbolic & Carlil. Kwa hili sasa sijui ni ujinga wetu wanunuzi au ni ujinga wa sheria zetu? Mi' ndo' mana nabaki zangu foda. Siami ng'o.
 
Mtu anatangaza nchi nzima kwenye magazeti, kwenye website, kwenye mabango eti ukinunua modem internet bure miezi sita, wakati anajua kabisa hicho kitu hawezi ku-offer.Kwa hili sasa sijui ni ujinga wetu wanunuzi au ni ujinga wa sheria zetu?

Mkuu sijui sana mambo ya sheria ila leo bungeni kulikua na mjadala wa kupitisha sheria ya kuwabana watakao kuwa wanatangaza bidhaa fake.

Mh. Mnyika alikazia sana kuongeza adhabu kwa watakaobainika, nilifurahi wazo lako kukubaliwa na kuwekwa katika sheria baada ya kujitahidi sana kulielezea ingawa alikua anapata upinzania wa hapa na pale mwishowe Mwanasheria Mkuu akamuelewa na kuomba mapendekezo yake yapite.

Kama sikosei itahusika na mambo kama haya pia.
 
Mkuu kwenye red umenifanya nicheke saaaaana....lol
Ulidhania wenyewe wamekushtukia na kakutumia msg?

Acha Mkuu!
Unajua tena jambo usilolijua ni noumer, jamaa kwy hiyo free internet alielekeza tufanye settings then tufungue kitu inaitwa ''circle brain''. Kwanza nilikutana na picha ya FUVU nikashtuka, kuendelea ndio ikaja hiyo msg, sijarudia tena!
 
Hivi huu ujinga wa hivi unatakiwa kuripotiwa wapi? TCRA au Tume ya ushindani? Mtu anatangaza nchi nzima kwenye magazeti, kwenye website, kwenye mabango eti ukinunua modem internet bure miezi sita, wakati anajua kabisa hicho kitu hawezi ku-offer. Au ndio ile mambo ya invitation to treat, ya kina Mr Carbolic & Carlil. Kwa hili sasa sijui ni ujinga wetu wanunuzi au ni ujinga wa sheria zetu? Mi' ndo' mana nabaki zangu foda. Siami ng'o.
Untakiwa kuripotiwa
strip_new_buildingTop.jpg
headerflash160712_02.gif

new_building4.jpg
headerflash160712_05.gif
headerflash160712_06.gif
Thursday Apr 12, 2012
headerflash160712_08.gif
headerflash160712_09.gif
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
tcra_strip_two_01.gif
tcra_strip_two_02.gif
Customer Center : Complaint form
Please Send us your feedback! Fill the form below:​
A: PARTICULARS
Name of Complainant/Operator :
Address: :
Occupation::
Name of Respondent:
Respondent Address:
B: NATURE/FACTS OF THE COMPLAINT
(State the facts disclosing the cause of action precisely and concisely)
C: RELIEF (S) SOUGHT
D: VERIFICATION

tcra_strip_two_04.gif
tcra_strip_two_05.gif
ft.gif
Comment to Webmaster
TCRA All Rights Reserved. ©2010

TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority
 
jamani kwa wale wanaolalamika speed ili utoke kwenye EDGE nenda kwa option ya moderm yako kuna mahali utakuta network sasa hapo chagua 3g au kwa wengine wcdma only ndo utaona airtel walivyo wazuri enjoy it.Kwa mssada zaidi ni pm
 
Mimi ninayo, Hiyo FREE INTERNET ni Sh3,000 kwa mwezi na Kila usiku ni bure pia.

Lakini ile ya free internet ya usiku ni kwa wateja wote! Sio lazima unue modem, hata kwenye simu, au modem ya zamani...
 
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....

Nilisafiri kwenda Singida recently, Morogoro, Dodoma & Singida all have 3.75G as well..kuna kazi ya kweli imefanyika hapa. Ni muhimu kutoa "credit where credit is due".
 
Back
Top Bottom