Hii nyimbo gani mpaka wamepaki gari na kucheza !

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
fb.jpg

Bofffffffffffffffffffffff
 
Hawa watakuwa wezi wa wake za watu,
Walikamatwa wakaambiwa wacheze ndombolo bila wimbo kwa usalama wao!
 
du mambo ya Botswans/South ni raha sana hayo maeneo,
wenyewe ni pombe, mziki na ngono
 
Wamepaki gari (usiniulize ndo nini), wanasherehekea kuitoa Barcelona.
 
Back
Top Bottom