Hii Nimeipenda: Wana CHADEMA University Wavaa Magwanda Darasani

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
CHADEMA WAVAA MAGWANDA DARASANI.


Wanachama sugu na viongozi wa chadema tawi la Chuo kikuu cha Mt.Augustine(SAUT) Mwanza leo wametinga madarasani kuhudhuria mihadhara(lectures) wakiwa ndani ya sare(uniform) za chama chao. Wanachama hao na wapenzi wafuasi wa chadema wameonekana chuoni hapo na mavazi yao huku wanachuo wengine wakibakia kushangaa. Baada ya kufuatiliwa nyendo zao na kuhojiwa walisema hiyo ni njia moja wapo ya kuhamasisha watu kuwaunga mkono katika maandamano yatakayofanyika kesho jijini hapa.Maandamano hayo imefahamika rasmi kuwa yataanza saa saba mchana,na yakianzia Standi ya mabasi ya Buzuruga hadi viwanja vya wazi vya Furahisha maeneo ya Kiruba jijini Mwanza.Lakini baadhi ya watu wameonesha kuwa na wasiwasi wa kushiriki maandamano hayo kwa kuhofia kupigwa mabomu na risasi za moto. Pia wengine wamedai kua kesho ni siku ya kazi hivyo muda huo watakuwa wako kazini hivyo wao walipendelea ingekuwa Jumamosi au Jumapili.Mmoja wa viongozi wa tawi la chuo cha SAUT aliulizwa juu ya hofu ya mabomu alisema"tunajua wazi kuwa mabomu yatakuwepo ila sio yale ya Mbagala na Gongo la Mboto hivyo tutaandamana,lakini kwa amani".
Source: K I D A U
 
Inafurahisha wasomi wanapobadilika kimawazo na kimtizamo...
Vazi lile la cdm tu ni ishara kubwa sana ya kutekenya fikra za mtu, na kwa ujumla linapendeza.
 
Pole sana Ngwendu,

Mkuu chuo cha St. Augustine hawasomi wakristo pekee. Naomba uwakumbuke idadi kubwa ya akina Asha, Mohamed na Juma walioko pale ambao ndio wafuasi wakubwa sana wa Chadema. Juma Issa ndiye aliongoza kufaa magwanda na kuhamasisha wenzie. Nadhani umeleta wrong conclusion iliyozaliwa na wrong assumptions zilizotokana na wrong thinking!!
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.

The more you associate CDM with Christians the more Popular it would be beacause CDM already has the backing of following

1.Most intellectuals regardless of religious affiliations

2. Majority of young people regardless of their religious affiliations

3. Majority of poor Tanzanians regardless of their religious affiliations

The only people who might be spread to other parties is regular players and committed christians who might be seing CDM is their only hope in the world while jesus is their hope in heaven, as well as those who are non educated but want better lives. It is very dangerous for those who are thinking that associating any party with certain religion could serve them well, they are wrong and the last election have proved them wrong, If not NEC manipulations (chakachua) now Tanzania could have been in leadership of CDM. CDM Ain't CUF where they scared christians. People want their lives to improved the rest and not their mosques or churches.
 
The more you associate CDM with Christians the more Popular it would be beacause CDM already has the backing of following

1.Most intellectuals regardless of religious affiliations

2. Majority of young people regardless of their religious affiliations

3. Majority of poor Tanzanians regardless of their religious affiliations

The only people who might be spread to other parties is regular players and committed christians who might be seing CDM is their only hope in the world while jesus is their hope in heaven, as well as those who are non educated but want better lives. It is very dangerous for those who are thinking that associating any party with certain religion could serve them well, they are wrong and the last election have proved them wrong, If not NEC manipulations (chakachua) now Tanzania could have been in leadership of CDM. CDM Ain't CUF where they scared christians. People want their lives to improved the rest and not their mosques or churches.

Nimependa analysis yako mkuu. Tanzanians found party that reflect their ideas and aspirations. We are supporting solutions to our country nothing else and if ccm did all this since independence we will never heard of Chadema. CCM time is up and please people don't be use by ccm to bring "udini wa kijinga hapa"
Ignorant and uneducated are most at risk here.
 
CCM wanaliogopa vazi hilo kama Bush na ugaidi, lakini turudi nyuma sijaona mantiki ya wao kutinga magwanda hayo class. Kila vazi wakati wake na mahala pake.
 
Wale wale.
Chadema=kanisa
st augustine=kanisa
wakristo plus their components=kanisa.
hakuna jipya hapo.


Tukupe pole sana na labda tujaribu kukuelewesha upate uelewa hakiki.
Chuo Cha Mtakatifu Augustino Nyegezi Mwanza kimetokana na chuo cha awali kilichojulikana kama Nyegezi Social Training Institute, chuo pekee nchini kutoa mafunzo ya uandishi wa habari kabla na baada ya uhuru kwa miaka kadhaa na kimekuwa kikitoa wanahabari wa kila aina nchini wa dini zote, wapagani na watumishi wa serikali kama kilivyokuwa chuo cha Uhaziri Tabora ingawa vilikuwa vinamilikiwa na kanisa. Chuo kingine kama hicho kilikuwa Ndola Zambia. Vyuo hivi vilikuwa vikiendeshwa kwa ufadhili na usimamizi wa nchi za AMECEA (SHIRIKISHO LA MAKANISA KATOLIKI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI). Hali kadhalika vyuo vingi vya ualimu nchini vilikuwa vikiendeshwa kwa mtindo huo na havikuwa na ubaguni wo wote, na walimu wengi nchini wamepitia vyuo hivyo.
Kwa Taarifa yako kanisa katika kutoa elimu halina ubaguzi wa rangi, dini, itikadi, akili nk. wote wako huru kujiunga na chuo mradi wanatimiza masharti na sifa za chuo kama wanachuo wa chuo cho chote nchini kwa minajili ya kwenda kulitumikia taifa letu. Na kwa taarifa yako vyuo hivyo vina wahadhiri wa dini zote. Cha msingi mhadhiri, mwanafunzi au mwanachuo anatakiwa awe na nidhamu na kujali maadili mema ya kiraia ndio sharti muhimu la kwanza.
 
Udini unapandikizwa na midomo yenu msio na upeo. Kama hamna udini ni kwanini kila siku mnakumbushia hapohapo tu? Acheni kuvuruga imani za watu watashindwa kuelewa jinsi yakuishi katika jamii zao, zakiTANZANIA. Watu wamezungumzia mavazi we unachomeka mada ya dini uko sawa acheni uchochezi.
 
the university Act of 2005 prohibit any students or staffs not to engage or involve in any political parties affairs and the things related. no flag or parties uniforms shall be.......................
But ni ngumu kuwakamata, inatia moyo sana. siyo zama za kuogopa.
 
Siku zote ukiona mtu anakimbilia udini mara nyingi amefilisika kisiasa na hana ajenda ya maana. kidumu CDM
 
sijui raia gani wa tz asiyeipenda chadema km sio makamba peke yake kwani mpaka sasa hata kikwete anatamani angekuwa mwanachama wa kawaidsa wa cdm kutokana na mfupa wa u-ccm uliokwisha kumshinda
 
Back
Top Bottom