Hii nimeipenda sana...

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Jambo jema la mabasi ya Dar Express kuanza kupiga route za Mwanza - Moshi limenipa faraja kubwa sana hasa kwa ndugu zetu waishio mikoa hiyo.
 
kimbweka bana! ....lol... Hata mimi nimeipenda hii..

Hii ni habari njema inaelekea kale ka ukali cha Mh Pombe kameongeza kasi ya umaliziwaji wa barabara ya lami Arusha - Singida, labda itakuwa imebaki kipande kidogo mno.
 
kwa hiyo kimbweka mwanza moja enhee kwa kina DC Masha..

Halina upingamizi si unajua huduma za hawa jamaa, maji, soda, pipi n.k sasa wakina ZUBERI, AM, na MTEI wakae chonjo, maana jamaa kwenye fani ya transportation naona anaimudu sana
 
Jambo jema la mabasi ya Dar Express kuanza kupiga route za Mwanza - Moshi limenipa faraja kubwa sana hasa kwa ndugu zetu waishio mikoa hiyo.

Usalama wa mabasi yao vipi? Si yale kila leo ajal?????i!!! au nachanganya mambo. Tunawakaribisha sisis wa Mwanza, lakini tunatanguliza usalama jamani.
 
Usalama wa mabasi yao vipi? Si yale kila leo ajal?????i!!! au nachanganya mambo. Tunawakaribisha sisis wa Mwanza, lakini tunatanguliza usalama jamani.

Inaelekea huwajui kabisa hawa jamaa" DAR EXPRESS NI USAFIRI UNAOAMINIKA NA WA USALAMA KABISA" hawana mambo ya kufukuzana wala kugombania abiria, Wazazi wa Jiji la Dar ambao watoto wao husoma mikoa ya Arusha na Moshi huyakodi haya mabasi kwa kuwarudisha watoto wao home wakati wa likizo au kuwapeleka katika shule! Fanya utafiti utafahamu mkuu
 
Back
Top Bottom