Hii ni week ngumu kwa watawala tanzania

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
wadau naleta hoja kuwa week hii ni week ngumu kwa watawala TZ kwa matukio yanayotokea na yaliyotokea

1. Vigogo wa Polisi kwenda gerezani kumshawishi Lema kukubali dhamana

2. Mahakama kumnyima Lema dhamana

3. Maaandamano na mkusanyiko mkubwa wa CDM na baadaye kutawanywa

4. Viongozi waandamizi wa CDM kukamatwa kwa mkusanyiko usio halali na hotuba za Uchochezi

5. Waziri mkuu kulalamika bungeni kuwa maandamano ya CDM yanawanyima usingizi

6. Mgomo wa wanafunzi UDSM

7. Mapigano ya Polisi na wamachinga huko mbeya

Duuuh sijui nchi inakwenda wapi hii
nawasilisha
 
Hii ndio dalili ya kuanza kuanguka kwa dola ya CCM

Tusubiri tujionee maajabu ya mussa
 
8.mapigano ya polis na wananchi babati-leo

Kwa sasa naiona live watu wanataka changes na kwa namna ya pekee nawaonea huruma viongozi waliopata dhamana ya uwakilishi na wakafanya sherehe kwani wananchi hawataki utani.
 
hhaaa...mgambo wa jiji kumwaga ubwabwa wa mama ntilie huku vikindu
 
Back
Top Bottom