Siyo Isaack, Ni Jacob.
Ahsante mzee kwa kunikumbusha na kuweka records sawa. Haya mambo niliyasoma zamani sekondari/seminari!
Siyo Isaack, Ni Jacob.
Misri ya Leo sio Misri ya enzi za Musa, pia haimaanishi kuwa walikuwa wakisafiri kwa miaka yote hiyo, Kuna process kuweza kuachiliwa kutoka mtumwa hadi kwa huru
eti bahari ilitenganishwa,bahari ipi hapo wakati watu wanatembea hata kupitia tunnel kutoka misri kwenda gaza.halafu wanakimbia askari wa misri wakati wanadai walikuwa wamepewa uwezo wa kupigana na jehova,kwanini wasipambane na askari wa misri?
kucompete na mungu kivipi?,au ndo unaamini kuongelea haya mambo ni dhambi?.Umenithibitishia maandiko mengi sana leo. Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu na Hekima za Mungu ziko juu sana ya upeo wa mwanadamu na hata hazichunguziki. Ninaomba umbali uisopimika kati ya hekima yako na ukweli kuhusu Mungu. Hamwezi kukutana. Mko mashariki na magharibi. By the way umejaribu kuangalia historia ya jeshi la Misri tangia miaka ile inasemaje? Huhitaji ku challenge Ukuu wa Mungu kwa hasira na ghadhabu. Wewe huwezi ku compete na Mungu katika lolote.
Wendawazimu ni fani...eti bahari ilitenganishwa,bahari ipi hapo wakati watu wanatembea hata kupitia tunnel kutoka misri kwenda gaza.halafu wanakimbia askari wa misri wakati wanadai walikuwa wamepewa uwezo wa kupigana na jehova,kwanini wasipambane na askari wa misri?
kucompete na mungu kivipi?,au ndo unaamini kuongelea haya mambo ni dhambi?.
Misri ilikua inatawala kipindi hicho mpaka caanan.
Pia wana achaelogia hawajawahi kupata hata fuvu moja la myahudi aliefia jangwani enzi wanatangatanga jangwani.hakuna ushahidi wowote wa kihistoria.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/The_Exodus.Umenithibitishia maandiko mengi sana leo. Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu na Hekima za Mungu ziko juu sana ya upeo wa mwanadamu na hata hazichunguziki. Ninaomba umbali uisopimika kati ya hekima yako na ukweli kuhusu Mungu. Hamwezi kukutana. Mko mashariki na magharibi. By the way umejaribu kuangalia historia ya jeshi la Misri tangia miaka ile inasemaje? Huhitaji ku challenge Ukuu wa Mungu kwa hasira na ghadhabu. Wewe huwezi ku compete na Mungu katika lolote.
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Ni kama Tanzania tu mwaka wa 50bado hatujaweza kujivunia utaifa wetu siku tukipata ukombozi wa kweli kifikra na tukaweka kwenye historia wajukuu zetu kipindi hicho wataumiza vichwa sana ilikuwaje babu na bibi zetu wakaishi maisha ya ukoloni mambo leo miaka yote hiyo?
naelewa sana mkuu. Mtu aliyekuwa na miaka 50 wakati huo alifika akiwa na 90 years! Teh teh teh. Kikongwe!
naelewa sana mkuu. Mtu aliyekuwa na miaka 50 wakati huo alifika akiwa na 90 years! Teh teh teh. Kikongwe!
Wakati huo watu walikuwa wakiishi kwa miaka hadi mia tisa (900yrs)
Acha uongo. Weka picha apa.
Soma biblia kitabu cha kutoka mkuu
Si mbali ila miaka ya zamani na siku hizi inahesabiwa tofauti, halafu walikuwa wansuasua mno mara wamgomee Musa mara waulizie ili wapate uhakika wa nchi ya ahadi. Basi ilimradi bibilia nayo inazingua zingua tu.Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
Humu kuna watu wana akili we acha tu!Nimeishia kucheka tu..!
Maandiko yamesema MUNGU ni mjinga hebu nipimie ujinga wa MUNGU?Umenithibitishia maandiko mengi sana leo. Hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu na Hekima za Mungu ziko juu sana ya upeo wa mwanadamu na hata hazichunguziki. Ninaomba umbali uisopimika kati ya hekima yako na ukweli kuhusu Mungu. Hamwezi kukutana. Mko mashariki na magharibi. By the way umejaribu kuangalia historia ya jeshi la Misri tangia miaka ile inasemaje? Huhitaji ku challenge Ukuu wa Mungu kwa hasira na ghadhabu. Wewe huwezi ku compete na Mungu katika lolote.