Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano.

Kashifa zipi Tall kwani mnakuwa mmegombana ama jamaa linajisikia tu kukashifu??
Ukiona hivyo jua haliko sawa
 
Asprin.............kisha unapokea kiingilio mlangoni au? class monitor nafikiri class monitor anaitwa kiranja wa darasa kwa kiswahili cha kawaida, ila mie humwita SHAMBENGA! :tongue::lol:
 
Asprin.............kisha unapokea kiingilio mlangoni au? class monitor nafikiri class monitor anaitwa kiranja wa darasa kwa kiswahili cha kawaida, ila mie humwita SHAMBENGA! :tongue::lol:
Nitafurahi ukiniita kiranja wa darasa. Hilo jina jingine ukiniita uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi unaweza kuwa kama wa Bush na Osama.
 
huyu si mwanamme wa kawaida ....akili yake si njema sana ninanochoona hapa dada wa watu hata tatizo ila amekutana na crazy
kuna wanaosema kuwa huenda hata kupewa hakupewa......ni maneno ya mkosaji.
 
lakini hebu na tujiulize ............one night stand pia unaita mahusiano? hii imekaaje Tall?
 
nadhani utakuwa unazungumzia wanaume wako na si wote...

ni kawaida yenu na si wanaume wangu ila nina mume wangu, inaonyesha wewe ni mmoja wapo ,mwenye tabia hizo za kuongelea mambo ya mkeo/mwanamke wako pindi mnapokwaruzana acha tabia hiyo ni chafuuuuuuuuuuuuuu! Lol!
 
afu mijitu mingine naturally ni mijitu ya nyodo/dharau km ambavyo baadhi ya makabila yetu tz ni wataalamu kwa majigambo ata ukikutana na mtoto mchanga wa kabila ilo analia n'gaaaaaaaaaaaaa n'gaaaaaaaaaaaa kwa kingereza akimalizia na ..infakt mami yangu ana maziwa mazuri na matamu kushinda yawamama wote apa clinic......sasa ukikutana na wakubwa zao ndo utakoma sasa ............dah i hatari :scared:
Roseunatafuta balaa wewe mtoto. hahah LOL :hurt:
 
Lakini Tall wanaume ndivyo walivyo hata umfanyie vipi , mkikorofishana kidogo tu basi anaanza kashfa sasa sielewi zinawasaidia nini, maana utakumta mtu anamkashifu mkewe kwa sababu tu wamegombana halafu baada ya muda wanarudiana sasa sielewi huwa hawaoni aibu? maana anakuwa tayari ameshatangaza jinsi mkewe alivyo.

WANAUME KUWENI NA TABIA NZURI KAMA MMEACHANA NA MWANAMKE /MKEO USITANGAZE MABAYA YAKE, MAANA "MWISHO WA UBAYA AIBU".

Siyo wote ni wachache! Wengine ukikorofishana naye wala hapeleki vijistori nje!
 
Back
Top Bottom