Hii ni siri inayonitesa!

Duh, mwonee huruma mwana wa mwenzio, hayo madongo ya kumpa siku akiwa katulia. Kufikia kuandika leo jua hili jambo limemtesa sana leo.

Utam-PM hata siku nyingine kwa madongo, pse not today

Biashara matangazo ehhhh??
Umeskika bi dada.Watakutafuta for sampling.
 
Edward Teller
While she has her own part in all of this but,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,je is rushwa ya sex part and parcel of job promotion requirement? Further more if angekuwa male candidate would this have been asked of him or ever happened?
angekwenda kushtaki kunakohusika kama hiyo rushwa aliyotoa angeioa haifai
kama angekuwa male-may be angeombwa cash.....who knows?
 
Mume wako anafahamu hii siri yako?
mkuu hizi ni porojo.eti una mume then unaconfess dhambi kuu ya Sodoma na Gomora.hata kama spouse wako haingii humu lakini umetaja kazi yako ya awali na ya sasa na shirika si watu watajua na hata kumwambia.pia ni UN gani ina line manager kama shipping line? au ni FAO wanasafirisha vyakula vya msaada? all in all uitwe ujue NIA... ukubali.. uonyeshwe gelly utoe basi we ni mzoefu hukuanzia hapo
nafeel vibaya kujadili masaburi ya mtu japo kataka mwenyewe ila kwa taarifa kapime afya
 
mnapoteza muda bure kumshauri.mtu aliyefirwa huwa hasemi.husema waliomfira.loud and clear!!!
 
ukijulishwa kuwa anafahamu utajisikia raha eti? Wewe ni great thinker!

Wewe ndio great thinker? Kwani nimekuliza wewe mpaka umejibu mijitu mingine bana sijui ikoje...hii habari ni ya uwongo hadithi za kuchangasha JF tu, usiwe unarukia rukia kijana
 
mnapoteza muda bure kumshauri.mtu aliyefirwa huwa hasemi.husema waliomfira.loud and clear!!!
na kama ni kisa cha ukweli basi hata tone yake inaonyesha alii enjoy kuchapwa nao ila anakuja hapa ku share adventures zake kwa sababu anaikumbuka sana hiyo siku na kazi ya u-line manager whatever bado anai enjoy, na jamaa bado linagonga tena sasa hivi linamwaga kwenye mapua na masikio na limemchoka. Hapa anataka watu wam-pm akawape raha, tatizo ni kwamba zigo lenyewe linaweza kuwa ni mtambo wa kufua umeme

 
Very bad!!! Kama umeshajutia kosa lako na kuomba Mungu akusamehe yeye ni mwingi wa rehema atakuwa ameshakusamehe kikubwa ni kuangalia mbele na kuwa mwalimu na mshauri mwema kwa mabinti na wanawake wengine. Na nyie vidume ambao hamtosheki na mapenzi halali mpaka Tigo jifikirieni na mjipime mbadilike
 
sioni tatizo liko wapi hasa kama ulikubali mwenyewe? wanawake huwa mnanifurahisha sana. Mkitolewabikira akhaaaaa, kimyaaaaaaaa!
 
kama ulikubali kutoa bekeni yako unacholalamika nini sasa. kama ni ubaya nadhani uliujua tangu mwanzo, iweje ualalamike tena. We endelea tu na hivi ushaanza, huachi tena utaendelea tu kuliwa 'jicho' for the rest of your life.
 
Pole sana. Nshundwa hata la kukuambia zaidi ya pole. Mungu yu mwema ukimwomba msamaha toka moyoni atakusameha na kukupa amani uliyoipoteza.
 
Huyu ni mwanaume aliliwa tigo wala sio mdada hahahahahahaha...pole bwana!!kila mtu ana siri yake maishani mwaya
 
pole sana kwa yaliyokukuta, natumaini umejifunza jambo flani hapo. Mi naona bado hautakuwa umepona vizuri juu ya matatizo ya kisaikolojia kwani umetuambia sisi ambao hata hatukujui wala hatukufahamu vizuri, ni vyema kama unataka hiyo kitu uiondoe kabisa akilini mwako unatakiwa utoe ushuhuda huo mbele za watu face to face na sio kupitia mtandao kama ulivyofanya, pole sana.
Usimwage mtama na hata siku moja katika maisha yako yajayo usijaribu kuosha nguo zako chafu hadharani kama pingpong anavyokushauri. Hutalainika. Hayo ni mambo 'personal' sana na hata kuyaanika hapa jamvini mimi sioni kama itakusaidia sana ku-deal na hizo 'post-traumatic' feelings. Lakini kwa kuwa umesha mwaga siri zako, sasa inabidi ushughulikie mambo mawili: kwanza, hizo post-traumatic feelings za kujichukia na pili itabidi sasa uhangaike na aibu katika jamii. Ushauri: tafuta psychotherapist mzuri akusaidie, wapo wazuri nawafahamu natumaini na wewe unawajua. Watafute. Pole na Kila la heri.
 
Tafuta msaada wa kisheria umchukulie hatua, hii ni rushwa mbaya sana amekuomba na itabidi awajibike, hakuna sababu ya kulea tabia ya watu wa aina hii, vinginevyo ingefaa awekewe mtego ili anaswe aache tabia hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom