Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

Kwa hayo maelezo hapo juu, itakuwa sio haki. Mwanaume anapaswa kuwa na shukurani na awajibike pia kwa baadhi ya kazi za nyumbani ili muda wa kusubiri kwenye gari na kupigia simu upungue.
 
Back
Top Bottom