Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

pole mwaya, tafuta usafiri wako kama unaweza ila kama huwezi ndio hapo, komaa naye.
 
Dada pole kwa hili, ni mfumo dume ambao baadhi yetu bado wanao, lkn wapo baadhi wanaume bora ambao, wana appriciate kazi ngumu ya mama, na pia wanao amini kuwa LOVE IS DEMOCRASY hata kama ni mkeo ni vema ukampa amani na furaha ya nyumba yake na sikumfokea kila wakati, kwani baadhi ya wake, hawakulelewa kugombezwa makwao waliko zaliwa,
Naomba msamaha kwa niaba ya wote ambao hawafanyi sawa katika nyumba zao, tutajirekebisha na kuwa wababa wazuri sana.

acheni zengwe lenu nyie, hamtofautiani na wale wanaolalamikia mfumo kristu kila kukicha! sasa we umekuja na mfumo dume, na mtoto anakuja na mfumo viboko, na baba anakuja na mfumo chu.pi!! ha ha kaaazi kwelikweli
unataka kuhoji mpaka majukumu yako, mbona hulalamiki unapopata mlo wa kila cku, najipinda mwenyewe kutafuta mkate wa familia, unakula mpaka unalala unajamba kama mke wa yule mshkaji wetu, watoto wanakwenda shule, we mwenyewe unavipodozi kama duka la urembo, mshahara wako cjawahi kuulizia, yet u re complaining. fine, acha niwe naingiza vyombo, niingie na jikoni, nioshe na watoto then wewe take care of the family needs
hatuendelei kwasababu tunatafuta majibu ya matatizo yetu kwa wenzetu, yaani siku zote tunaona wenzetu ndiyo tatizo so tunaishia kulaumu pasipo kujitafiti ndani. ni wajibu wako kuhakikisha nyumba inakuwa katika muafaka, na niwajibu wake kuweka kila kitu sawa
play your part, i do mine, life becomes sweet
 
bhikola umetumia nguvu nyingi sana duh!
Ila nami niko consious sana na time, n l hate waiting.
Bidada atafute means nyingine ya kwenda kazini kama hawezi jiadjust kiratiba.
 
Last edited by a moderator:
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:

Vumilia sisi wanaume bwana:"ndivyo MUngu alivyotujalia.",naturally wanaume wanakuwa na matayarisho ya fasta,lakini ladies huwa wanachukua muda mrefu kidogo kujitayarisha.Ukilijua hilo,rekebisha ratiba yako kidogo ili uweze kwenda sambamba na mtu wako.!!!
 
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:
Hayo unajitumaga mwenyewe au ana ku command i.e kama vile kuchek milango n.k
 
Mmh mbona kila siku ni post za matatizo ya ndoa 2?sijawahi ona uzi uloletwa kuonyesha mema na raha ya ndoa,hv ndoa ni matatizo tu?mbona mwatutisha tulio single?

Poleeee.. Wala usiogope sana. Mazuri yapo mengi sanaaaaa tu, ila bahati mbaya yanajadiliwa matatizo zaidi kwa ajili ya kupata ufumbuzi. Karibu sn chamani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
bhikola umetumia nguvu nyingi sana duh!
Ila nami niko consious sana na time, n l hate waiting.
Bidada atafute means nyingine ya kwenda kazini kama hawezi jiadjust kiratiba.

weye Kaunga weye? Basi amka and help with some chores.
 
Last edited by a moderator:
weye Kaunga weye? Basi amka and help with some chores.

Unajua kuna ka unwritten law kuwa being a lady ni pamoja na kukeep a man waiting a little. So kuna watu wana over do a lot.

Nimekuwa nikiwaacha wadada wengi wa ofisini, baada ya kuwaambia wao wenyewe wapange time (tukiwa tunaenda field) na wanashindwa kukeep time.
 
Mmh mbona kila siku ni post za matatizo ya ndoa 2?sijawahi ona uzi uloletwa kuonyesha mema na raha ya ndoa,hv ndoa ni matatizo tu?mbona mwatutisha tulio single?
mimi huwa nalisema hili kila siku lakini maisha mdogo wangu Ciello maisha yanafanya watu wawe hivi,
kiukweli sio kwamba ndoa kila siku ni maumivu ila ni mazoea tu ya wanadamu kusme zaidi linalotukera zaidi ya linalotufurahisha !
ila ndoa ni nzuri sana i see!la muhimu mawasiliano na sala!
 
Last edited by a moderator:
acheni zengwe lenu nyie, hamtofautiani na wale wanaolalamikia mfumo kristu kila kukicha! sasa we umekuja na mfumo dume, na mtoto anakuja na mfumo viboko, na baba anakuja na mfumo chu.pi!! ha ha kaaazi kwelikweli
unataka kuhoji mpaka majukumu yako, mbona hulalamiki unapopata mlo wa kila cku, najipinda mwenyewe kutafuta mkate wa familia, unakula mpaka unalala unajamba kama mke wa yule mshkaji wetu, watoto wanakwenda shule, we mwenyewe unavipodozi kama duka la urembo, mshahara wako cjawahi kuulizia, yet u re complaining. fine, acha niwe naingiza vyombo, niingie na jikoni, nioshe na watoto then wewe take care of the family needs
hatuendelei kwasababu tunatafuta majibu ya matatizo yetu kwa wenzetu, yaani siku zote tunaona wenzetu ndiyo tatizo so tunaishia kulaumu pasipo kujitafiti ndani. ni wajibu wako kuhakikisha nyumba inakuwa katika muafaka, na niwajibu wake kuweka kila kitu sawa
play your part, i do mine, life becomes sweet
isee kwa mwendo huu!mkeo mbona ana kazi!
 
Solution to a good marriage is two tvs and three cars.

ndo sababu nikatafuta tukutuku yangu.....maana nilikuwa nanuna hadi nakaribia kupasuka..... Mtu uko busy hadi hujitamnui, watoto, nyumba, yeye, kazi, shule, vibusiness halafu anakwambia 'bado tu?' inaudhiiiiiiiiii
 
Mmh mbona kila siku ni post za matatizo ya ndoa 2?sijawahi ona uzi uloletwa kuonyesha mema na raha ya ndoa,hv ndoa ni matatizo tu?mbona mwatutisha tulio single?
Kumbe weye bado ako single eh?

Nashukuru kwa taarifa....

hebu twenzetu pande ya Love connect....
 
hapa unaogopa wanaweza wakatoroka usiku au wezi wasiingie

Hapana mkuu, ni jukumu la mume kuhakikisha nyumba iko salama, so mimi hata kama nimemuacha sebuleni, lazima nifunge milango na ishatokea nilipoacha kufunga na nikatoka usiku nikakuta haikufungwa!
Labda nimewazowesha hivyo.
 
Solution to a good marriage is two tvs and three cars.

No! It isnt, kwetu tuna magari lkn tunapotaka kutoka pamoja lazima tutumie gari moja tu, ingawa honi na lesi lazima nimpigie kwani kujichelewesha ni jadi kwenu.
 
habari za asubuhi
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
Naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? Ivi hii ni haki! Hamjali yoooote tunatowafanyia, au hiyo ndiyo asante yenu? :mad::mad::mad:

sisi au huyo mume wako. Tuwie radhi bwana.
 
bhikola umetumia nguvu nyingi sana duh!
Ila nami niko consious sana na time, n l hate waiting.
Bidada atafute means nyingine ya kwenda kazini kama hawezi jiadjust kiratiba.

Kaunga, Lisa ana ka-ukorofi fulani. Anaye house girl na Mlinzi na bado anachelewa na kumlaumu mumewe!
 
Last edited by a moderator:
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.

Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? :mad::mad::mad:

Mwanamme anatakiwa ashirikiane na mkewe katika kufanya baadhi ya kazi hasa ikiwa wote ni wafanyakazi, wala haijalishi kuwa kuna dada wa kazi au la!
Wakati Lisa akilalamika hapa sisi wanaume tulioowa ni challenge kwetu tusije kuwa na tabia kama ya mume wa Lisa, inapunguza mapenzi kwa mkeo mara nyingi design hizi huwa wakali hata hawapati nyama za ulimi za wake zao!!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom