Elections 2010 Hii ni picha halisi ya matokeo ya uchaguzi wa 31 Okt 2010

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?

Willibrod Slaa - CHADEMA (1544) 69.5%

Jakaya Mrisho Kikwete - CCM (568) 25.6%

Ibrahim Lipumba - CUF (95) 4.3%

Mutamwega Mugahywa - TLP (8) 0.4%

Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi (6) 0.3%

Number of Voters
: 2221
First Vote
: Tuesday, 12 October 2010 11:18
Last Vote
: Friday, 15 October 2010 09:59

Source: Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
 
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
 
Huna ubia na Mungu ya nini kutishia wengine.

Kama ni kufa hata wewe utakufa, pengine utatangulia kufa kabla ya huyo unayemtisha.

DR. SLAA FOR LIFE!!!!
 
Huna ubia na Mungu ya nini kutishia wengine.

Kama ni kufa hata wewe utakufa, pengine utatangulia kufa kabla ya huyo unayemtisha.

DR. SLAA FOR LIFE!!!!

Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.
 
Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.

Kinana bwana. Du haya. Tutampinga huyo uliyesema ana mamlaka ya mwisho ya wizi.
 
Kinana bwana. Du haya. Tutampinga huyo uliyesema ana mamlaka ya mwisho ya wizi.

Hata usipompigia atashinda tu kura yako sidhani kama inaweza kubadilisha kitu maana hata 1995 haikubalisha kitu.
 
Hili ni tatizo watu kuwa na access ya internet wakati weledi zero. Mtoa maoni amesema picha halisi ya matokea unaanza kusema asiingie kwenye matatizo. Tuwe objective. Vipi REDET na SYNOVET? Ulisahau kuwaonya kuwa wataingia matatizoni?
 
[Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo. ]
Ataingia kwenye matatizo gani?kwani alivyotangaza yeye na walivotangaza redet na synovate inatofautiana nini?swali la ni wa ngapi wamejiandikisha,uliwauliza redet na synovate?Imekuingia sasa, naona unaanza kusikia starehe yake!pole saaaaaaaaaa!
 
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.

Kwani REDET na SYNNOVATE ni nec?
 
Kwani REDET na SYNNOVATE ni nec?

Walipotangaza walisema ni kura za maoni ila ndgu yetu alieanzisha hii mada amesema hayo ndio matokeo ya tarehe 31 october umeelewa? au una ubishi wa kichademachadema usokuwa na point?
 
kumbe nyie mshashinda kwahiyo hamuitaji kura zetu sio
sasa mnahaha ni kuhaidi vitu vya uongo
pili hivi wewe huko poa kabisa ndugu yangu, yaani pamoja na kijiopportunity kidogo cha kuweza kujua walau mambo yanaendaje duniani kwa kuwa na access ya mtandao, ila bado unashabikia CCM? du kweli watu mko kwa maslai yetu na si yawatanzania ndugu
anyway ndo jinsi mlivyo, ila kazi mtaipata sana tarehe 31 October

Kuchagua ni haki ya mtu hakuna sehemu inayosema nimchague nani sote tutapiga kelele ila siku ya mwisho ndio tutakayofanya maamuzi. Na mimi binafsi napenda mabadiliko ila kuna vitu vinanikera huku kwenye wanaopenda mabadiliko hakukubali ukweli! wao wanataka kudanganyana ili wapate thanks! mie sihitaji thanks za mtu na nina amini labda viti vya ubunge wapinzani na si chadema pekee kwani wao sio chama cha upinzani peke yao> Upinzani watapata viti vingi safari hii na hiyo itakuwa ni a step ahead sipendi nijidanganye kuwa eti upinzani utashinda viti vyote vya ubunge au asilimia 70 na urais watapata kuongoza nchi! Nakumbuka Zitto alisisitiza pale kibaha maili moja tuchague wabunge wengi wa upinzani ili tuwe na sauti bungeni. Wenye akili mgando walimbeza ila wenye akili timamu wanajua upinzani where they stand! Zitto anajua Slaa kushinda ni ndoto za mchana!
 
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.

" Hio mibangi unayovutaaa ni stimu za kulanduka, ' Kama sio fani yako kwa kweli utaumbukaaa" .. Hiii nyimbo
ni msanii gani ameimba vileee.. mie jina limenitoka wakuu !!!!
 
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.

Wewe Bwana acha kutisha watu hapa hata kama umetumwa. Mbona haukutoa kauli kama hii pale matokeo ya REDET yalipowekwa hapa? Acha uzandiki Bwana. Lazima tukubali kwamba upepo wa mabadiliko unavuma na hakuna wa kuhusimamisha. Kwa heri CCM

Tiba
 
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
mfuasi wa shekhe yahya kazini
 
Back
Top Bottom