Hii ni noma

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Mmeisikia habari hii,mimi nimeisikia leo redioni nikaona niwape wale ambao hawajaisikia.JAMAA KAFYEKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI,KISA KUGOMBANIWA NA WANAWAKE WAWILI
 
Du hongera zake,hasira hasara,sasa ataona cha moto kwa kukataa kufikiri zaidi ya pua yake,
 
Atakuwa mkristo huyo! Bible inasema jicho lako likikupotosha ling'oe ulitupe. Ubarikiwe sana baba.
 
Back
Top Bottom