Hii ni natural au ndumba!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!
 
Hakuna ndumba hapo, maana ingekuwa ndumba si ungekuwa umenasa mtegoni? Inawezekana moyo wako haukumkubali huyo dada ila akili yako ilikuwa ilivutiwa na vitu fulani fulani ktk umbile la huyo dada na ndiyo maana ulipokuwa ukimuona moyo wako ulikuwa ukimkataa ukishindana na akili yako ambayo ilivutiwa na vitu fulani na kusababisha 'ballistic missile' yako kufyatuka mara kwa mara.
Waone wataalam wa saikolojia wakushauri kuhusu 'ballistic missile' yako maana ukitumia usafiri wa daladala yenye mbanano na kubanana na jinsia ya tofauti na ndo kama inafyatuka hovyo kiasi hicho unaweza kuleta balaa, loh!
 
Inaonekana wewe unafanya kazi nyepesi nyepesi, nenda kafanye kazi za kuchimba zege uone kama utakumbuka kusimamisha 'ballistic missile' yako hiyo.
 
Ndumba,dah!Kila kinachotutatiza ni ndumba.Hard question,simple answer!
 
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!

hakuna cha ndumba ni ngono tu na matamanio tu!
 
Ungekuwa unafanya kazi hapa ninapofanya mimi, bila shaka hiyo Ballistic Missile yako ingekuwa imefungwa POP.......

Hahahahaaaaaaaaa! Kama ni hivyo, bora mwisho huu wa mwezi nisije kabisa hapo mahala aisee maana kesi
zinazoambatana na 'fujo za ballistic missiles' zina hukumu mbaya sana!
 
totally natural!! hata mie nikisoma na baadhi ya wanafunzi dorm nilikuwa 'full attention' kwa muda. it only happens to some people hasa unaovuti wa nao
 
Hiyo hali ni ya kawaida na inaonyesha kuwa wewe ni rijali, ingekuwa haistuki hapo kungekuwa na tatizo
 
ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!

huo ni ukware wako tu, hakuna ndumba hapo!!!!
 
Ungekuwa unafanya kazi hapa ninapofanya mimi, bila shaka hiyo Ballistic Missile yako ingekuwa imefungwa POP.......

Ha haaa Mkuu itabidi unipe ka mwaliko japo ziara fupi ya nusu saa nisuuze roho yangu hapo kwenu.
 
Duh.., mkuu hebu nipe deal nami nije huko maana nahitaji kwenda likizo kidogo
Mwezenu mie nishazoea kujionea viroja mpaka sasa nikiona mwanamke kakaa utupu naona ni ya kawaida tu.........
Hapa ofisini ninapofanya kazi ziko ubwete wanawake hawajui kujisitiri maungo yao kabisaaa

Uliza nafanya kazi gani.....................

Mie ni Swimming Pool Attendant.............................LOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom