Hii ni namba gani? +1452117845*1

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Mwenye kufaham naomba aniambie hii ni namba ya namna gani.
imekuwa ikipiga kwenye namba yangu ya tigo mara kwa mara na siku tatu hz naona ni kila siku jioni, leo imeita asubuh.
kinachonishangaza ni kwamba haikai kwenye call log kama namba nyingine, yan hutaiona kwenye missed calls wala received, siku ya kwanza kuita nilipokea lakini sikusikia chochote na nlipogundua kuwa haikai kwenye call log na sisikii chochote nikaamua kutoipokea ikabidi niiandike kwa karatas wakat inaita.
msaada wakuu kwa mwenye kujua maana nimeisearch google hainipi result yoyote.
 
Itakuwa tigo wanatumia mitambo ya kichina ambayo kwa sasa inaleta matatizo kama hayo
 
Lile goma lako liko nje limekwama nauli ya kuludi bongo mtumie nauli aludi
 
Hiyo ni country code ya canada, usa na exmbergy. Kama ilivyo kuwa hapa kwetu code yetu ni 255. Au kwa jina lingine ni zip code. Ila country code za number za nchi zote nilizozitaja hapo juu zinaanza na moja. Halafu utatambua ni nchi gani baada ya number inayofuata, kwa hiyo basi hiyo ya kwako ni ya canada na ni landline.
 
Mwenye kufaham naomba aniambie hii ni namba ya namna gani.
imekuwa ikipiga kwenye namba yangu ya tigo mara kwa mara na siku tatu hz naona ni kila siku jioni, leo imeita asubuh.
kinachonishangaza ni kwamba haikai kwenye call log kama namba nyingine, yan hutaiona kwenye missed calls wala received, siku ya kwanza kuita nilipokea lakini sikusikia chochote na nlipogundua kuwa haikai kwenye call log na sisikii chochote nikaamua kutoipokea ikabidi niiandike kwa karatas wakat inaita.
msaada wakuu kwa mwenye kujua maana nimeisearch google hainipi result yoyote.

Hiyo ni namba ya simu!
 
Back
Top Bottom