Hii ni Mpya kabisaa.. haijawahi tumwa hapa..... Nahitaji jua WHY???

Itakuwa ulikuwa unafanya tendo la ndoa na jini mahaba ndiyo hali hiyo utokea na mtu huona anaridhishwa zaidi kuliko akifanya na binadamu mwenzake.
Inaoneka mheshimiwa una experience nzuri na Hilo jini. Imani potofu imekujaa, maskini tumekwisha kupoteza:mad:
 
Jamani fungukeni hapa wadada, mi nasubiri maukweli! Duh....! Hii kitu noooma!!
 
ndugu zangu ivi mwafahamu kuwa bao la usingizini... Yaani unaota uko ktk mapenzi afu ukakojoa ndotoni... Mnahabari kuwa hakuna bao taamu,satisfying,linalochosha na kulegeza viungo kama lile... Swali.. Ni kwanini bao la ndoton ni tamu sana..?? Wadada na ninyi uwa mwapata hii kitu ndotoni..??

hizo ni ndoto za ma tineja.
 
Itakuwa ulikuwa unafanya tendo la ndoa na jini mahaba ndiyo hali hiyo utokea na mtu huona anaridhishwa zaidi kuliko akifanya na binadamu mwenzake.

kwa imani yako ni sawa tu,lakini kisayansi inafahamika kama wet dream,ni njia ya mwili ku-rid off waste! Ni automatic valve zipo kazini.
 
ujanani nilikuwa nawaogopa mademu sana,kusema ukweli nilianza kutogoza at 25! Hizo ndoto zilikuwa kawaida sana....taaaamu!
 
Weweee nakuhakikishia halishindi la "mkono"yani ni noma!Wale vijana wa uswazi wanaelewa kitu hii!
 
Kongoshoooooooo , hatuji ngo si mnajua wanawake wasiri sana hatusemi inakuwaje na hamtajua ng'oooo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom