Elections 2010 Hii ni mbinu nyingine chafu ya CCM

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Leo J'mosi 9/10/2010 nimefanya ka utafiti kadogo kuhusu upatikanaji wa magazeti yenye habari nzuri ya wiki nzima ya lugha ya Kiswahili (RaiaMwema na MwanaHalisi). Nimezunguka Mwenge, Magomeni Usalama, Magomeni Mapipa, Morocco, Millenium Towers. Meza zote za magazeti na wanaotembeza magazeti wanasema magazeti hayo yameisha. Nilimuuliza mmoja jinsi yalivyokuwa yakinunuliwa, alisema watu wamekuwa wakiyanunua mfululizo na anahisi ni wanausalama. Kama si wanausalama CCM wametoa ajira kwa watu kufanya kazi hiyo chafu.

Hiki kitendo ni kibaya sana kwa sababu wanawanyima wananchi fursa ya kupata habari (denying the public to the access to relevant and useful information). Pili ni matumizi mabaya ya pesa zetu walipa kodi.

Nawaomba Jenerali Ulimwengu na Saed Kubenea kutoa nakala nyingine nyingi sana ili wananchi wapate fursa ya kupata habari muhimu. Ikiwezekana muwaombe wauzaji hasa wa mezani waache nakala moja moja kwa ajili ya watu kusoma kurasa za mbele halafu mtaziondoa wiki ijayo kwa ajili ya 'control'.

Pia naomba RaiaMwema na MwanaHalisi muweke nakala hizo kwenye website zetu kwani internet ni mwisho wa matatizo kama haya.

Tendwa na CIG hakikisha gharama hizi za kununua magazeti haya ziko kwenye vitabu vya matumizi vya CCM!!
 
Wakiongeza tena nakala za 'hardcopy' itawarahisishia wasio na access ya internet.
 
Another REDET na SYNOVATE! Teh teh teh!

Mrudi na hizi hadithi zenu baada ya Oktoba 31, 2010.
 
Another REDET na SYNOVATE! Teh teh teh!

Mrudi na hizi hadithi zenu baada ya Oktoba 31, 2010.

mimi binafsi huwa nawapendea wezi kujiamini tu lakini wakikamatwa wanalowa utafikiri si wao waliokuwa wanavunja mlango.the day has come.
 
kila lenye mwanzo alikosi kuwa na mwisho mwisho wao waja tena kwa kasi ya ajabu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom