Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
- Thread starter
- #21
Mzee Es said:Mzee wangu Muggy,
Ukweli ni kwamba rais, yaani Head Of State wa nchi yoyote ni mtu mwenye shughuli nyingi sana, na pia ana maamuzi yake binafsi ambayo hachukui ushauri wa mtu yoyote,
Huu msafara ulikuwa ni pamoja na LA, kwenda kukutana na Bill Gates, katika kutafuta hela za chuo Dodoma, kule LA kuna waliokuwa wanaitayarisha hiyo safari, na imewagharimu dola 35,000, dakika ya mwisho rais aliamua kuahirisha safari hiyo, sasa ni lazima itayarishwe upya na nina wasi wasi kuwa itakuwa kama ilivyosemwa hapo juu, lakini kwa issues za kiusalama, ikishafahamika mapema hivi, basi ina maana hakuna safari!
Mzee ES,naomba kutofautiana nawe kiduchu unaposema ana maamuzi yake binafsi ambayo hachukui ushauri wa tu yoyote.Anasafiri kwa hela yetu ya kodi,na ndio mana hata Prof Lipumba alikuwa sahihi kuhoji hizo ziara zisizokwisha kila siku.Nadhani JK anataka kuiwahi Novemba 9 (Guiness World Records Day) ili nae aweke rekodi kama rais wa kwanza mtalii.