Hii ni kweli kuhusu saut university?

viane

Member
Mar 26, 2012
79
18
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
 
kaombe admission kama unataka kujua usiishi kwa tetec na pia usiingize udini katika chuo msahamba wewe
 
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
Nakuona kama una tatizo la mtindio wa ubongo wewe. Unaposema kuna rokoo usiku una maana hakuna wanafunzi wanaokaa off campus? Au hiyo rokoo wanafuata mpaka huko wanakoishi kuwafanyia? Mimi ni mwislam safi na nimesoma hapo Saut, mbona sikuona hata siku moja tukilazimishwa kwenda kanisani? Wewe kama umefail form 6 na umekosa credit za kukupeleka chuo acha mara moja kupaka matope vyuo vyetu.
 
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?

ungejua wateja wa night club zinazozidi kujengwa mwanza kila kukicha ni wanafunzi wa saut wala usingekurupuka
 
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?

Eeeeh.!
 
Umbea tu..wabongo bana!!
We mwanzisha thread ni wale watoto wa form six. Imagine, utuambia SAUT UNIVERSITY. Je hiyo ni taasis gani Tanzania? Halafu unasema ni chuo cha kikristo. Unatikiwa kujua kwamba ile sio Seminary ambayo Chuo cha Kikristo. Unashindwa kutofautisha kati ya the University of the Church and the University for the Church. Yaani Chuo cha Kikristo na Chuo cha Kanisa. SAUTI is the University of the Church and not for the Church. Kile ni chuo cha Kanisa Katoliki hivyo hawatokubali hata kidogo kuona maadili yanabomolewa kirahishi na wao watazame tu eti watu wana uhuru wa kuvaa mavazi wayakayo. Hakuna uhuru usio na mipaka. Vinginevyo comment ya Sanator kwamba huu ni umbea ni sahihi kwa kweli.
 
Kuna tetec kuwa sauti ni chuo cha kikristo, wanafunzi lazima wavae sket ndefu sana na magauni km masista na wavulana hawaruhusiwa kuvaa jeans? Na jumapili lazima kanisani. Geti hufungwa jion saa 12 na hamna ruhusa kwenda club. Je ni kweli? Na pia ukilala nje ya chuo unafukuzwa chuo sababu kuna rokoo usiku? Je hayo ni kweli kuhusu saut?
Wewe dawa yako uende ukaombe chuo pale Muslim University Morogoro,maana naona unaanza kutania watu,uongo wako wooooooooooote utakuisha!
 
wewe huwezi kumaliza chuo inaonekana wazi kwenye bandiko lako ulivyo kilaza mpenda starehe..
 
yote c kweli... ila kuhusu mavazi ni mavazi ya heshma japo kuna wanafunzi wanavaa wanavyotaka....

Lakini kama wewe unafata ELIMU ckutegemea kama ungeuliza haya yote... lakini kama wewe unafata haya yote uliyoyaorodhesha hapo juu Njoo Rock city uongeze TAKE AWAY..
 
hiloooooooooooooooo
 
kwa kweli huo ni uongo na aliyekuambia hana relevancy authhority ila ukweli ni kwamba wamekataza suruali tu kwa wadada lakini mambo mengine yanaendelea kama kawaida. ko make sure unaandika vitu ambavyo vina uhakika na pale unafuata shule sio disco na sitegemei msomi kama wewe unauliza swali kama hilo la disco kama disco si ubaki kwenu
 
Back
Top Bottom