Hii ni kweli kibailogia?

mama lubango

Member
Aug 16, 2011
56
8
m'ke kuzaa akiwa & umri mkubwa sana (35....yrs) she is most likely kuzaa mtoto mlemav especially ulemav wa akili?{tahira}
 
Ni kweli aice..inaitwa down syndrome thou inatokea kwa wachache sn..muamin Mungu ndiye muumba..othrwise ht isaka angezaliwa taahira caz mama ake alikua kikongwe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom