Hii ni kweli kabisa imetokea kwa shemeji yangu tena msomi

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
Alikuja geto kwangu siunajua tena kwa ngwea..mi nkawa nimetoka nje napiga stori na jamaa wake ye yupo room nimemuwekea CD kwenye deki anasikiliza nyimbo, ile CD ikapiga nyimbo hadi ya mwisho ikaisha bwana bwana shemeji kafungua deki akageuza cd upande wa pili akaweka, kuona haiimbi akaniita shemejiii, mimi naam, cd yako mbona haiimbi?? kucheki baba kageuza upande wa pili, kwa aibu nkaua soo.... dah ivi kweli adi saizi watu hawajui cd tena mtoto wa mjini kabisa
 
Bt mi nimeshawahi kukutana na cd inaread both side...bad luck tz sijaziona bt zipo asee...
 
duh, we muongo mbaya, ebu jaribu then uone kama deki itafunga, labda unatumia jet Li... a.k.a mchina.
 
Alikuja geto kwangu siunajua tena kwa ngwea..mi nkawa nimetoka nje napiga stori na jamaa wake ye yupo room nimemuwekea CD kwenye deki anasikiliza nyimbo, ile CD ikapiga nyimbo hadi ya mwisho ikaisha bwana bwana shemeji kafungua deki akageuza cd upande wa pili akaweka, kuona haiimbi akaniita shemejiii, mimi naam, cd yako mbona haiimbi?? kucheki baba kageuza upande wa pili, kwa aibu nkaua soo.... dah ivi kweli adi saizi watu hawajui cd tena mtoto wa mjini kabisa
kwani tatizo nini hapo,...ulitakiwa kumuelewesha tu
 
mhhh! mbona unataka kutudamnganya maana ukigeuza tu haiingii
acha kutuokota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom