Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Njoo kwangu ukae kwangu,ila mimi sitatumia gari lako wewe ndio utatumia la kwangu,Driver wangu wa kunipelekea wanangu Shule nime mfire manake alikuwa anakuja ananuka pombe na kuna siku mwalimu alikomplain kuwa amekuta toti ya konyagi kwenye begi la mtoto, nilipo muuliza akasema aliitoa kwenye gari, aucle dereva huwa anaweka kwenye soda anakunywa hivyo nae akataka kuweka kwenye Juice yake ya Shule.

huna aibu kabisa,una asset yenye thamani zaidi ya millioni kadhaa,umerithishwa hilo gari najua,unajiona uko juu eenh?lala kwenye gari humo kama unafikiri vyeti aanhhh kuna nafasi ya ukurugenzi wa bank imetangazwa na utapewa gari vx na nyumba masaki ndo unachosubiri,subiri tu,
 
*****^¥€£**>¥•••!!!!*******?????
Hiyo elimu uliyotaja hapo siyo yako..Mbona kichwa bado kimelala?
 
unaluka majivu unakanyaga moto.

Yaani wewe ni halali kabisa hata huyo unaekaa naye akufanyie anayokufanyia kwa kuwa ni mshamba. Naomba nikueleweshe maneno uliyotamka hapa hayafanani na degree unayodai kuwa unayo na ni bora haujataja ni ya chuo gani kwani ingekuwa ni balaa kwa hicho chuo. Degree si cheki kaka bali ni jinsi unavyokuwa vizuri upstairs. Nina wasiwasi sana hata hilo gari ulipataje inawezekana hata ulihongwa na mwanamke ndio maana unatafuta mwingine ili arahisishe maisha yako kwa kuwa unapenda shortcut. Sidhani kama kwa sasa kuna wanawake wanao okota okota wanaume wa ovyo ovyo kama wewe wasiojua kuwajibika eti kisa wana ka u handsome ka kutengeneza ka kwako. Hebu nijibu maswali haya kwanza. Je wewe unatafuta sehemu ya kuishi ili utafute maisha? unatafuta mwanamke wa kukulea na kuwa anakutumikisha kingono? Au unatafuta mtu wa kutumia gari unayosema yako kumpeleka kazini na sokoni kwa ujira wa makazi? Mimi nakushauri uza gari yako panga chumba kimoja anza maisha jitume utafanikiwa.
 
Duh! bongo tambarare, hv kweli umesoma ukaelimika au ulihudhuria shule...
 
ni mara chache elimu kumbadilisha m2 inategemea kasomea nini..mbona maprofesa,madaktari bingwa, engineers, wengi wao ni walevi,wachafu,wazinzi,are not smart... elimu ina wigo mpana usisikie ana degree ukaogopa ukadhani 2015 atakuwa rais wa tz.... Jugment toeni kwa ayafanyayo lakini elimu cyo kigezo.
 
we mshikaji kwani hakuna gea nyingine ya kuwadaka mabinti hadii uanze na hiyo ya u-handsome na gari?. Kama vipi nikupe namba ya jamaa fulani hivi akusaidie kukupa kijarida kimoja kinaelezea teknik za kuwakamata wadada na vitu gani wadada wanazimika navyo kutoka kwa wanaume unless otherwise hiyo gea yako kawajaribu wanawake wa village ndo wanashoboka na mikoko, huku town hata beki tatu wangu huwezi kumpata kwa mtego huo.
 
gaari linahitaji matunzo tatizo huyu ninaekaa nae kama umeelewa stori anaitumia vibaya kiasi ambacho mm ni kulala sebuleni akiwa anakuja na mademu

We mjinga nini? Nyumba yangu unataka demu wangu nimpeleke wapi? Guest? Common, wewe umesoma chuo gani ambacho hujawahi kupigwa exile!
 
Maswali haya kaka uliyouliza ni ya msingi sana,ila pamoja na maswali hayo, nina maswali kadhaa ya kumuweka sawa huyu jamaa, KAMA HATA PATA JIBU HII THRED ALITAKA TU ATTENTION YA WATU NA SIYO YA KWELI

1. Anasema kinacho muuzi kwa jamaa yake ni kulala sebulen na gari lake kutumiwa

- hivi kuilala sebuleni ni tatizo? tena wakati unalelewa? alafu si siku zote ni mpaka aje na demu.

-Huyo demu unaye mhitaji uishi naye tena ukimpeleka kazini kwa gari lako kwani si sawa na anavyolitumia jamaa yako?

2. Unataka usaidiwe na mwanamke...

-Na kwanini asiwe mwanaume unayetaka msaada kwake ila mwanamke?

-Kwanini uhitaji kulelewa na mtu usiyemjua wakati umedai una Elimu? huoni ni ujinga?

-Je wajua wanawake hutumika kuwaibia watu hapa Dar es salaam, na a.k.a ya Dar ni Bongo, na kwa akili kama zako utaliwa?

-umewahi kulizwa hata sh. 100 na kibaka hapa Dar?

3. Una gari na ni handsome na una degree

-kuna dought! umeitoa wapi? WAKATI UNA degree na watafta kazi, ungelikuwa in service bila shaka usingetafta kazi! kama ni la ilithi au ulipata kwa njia hata ya bahati nasibu kwanini uje nalo Dar? kulisafirisha kutoka ulikotoka mpaka Dar si ni mtaji tosha wa kujiajiri?

-unahisi elimu imekukomboa?

-ulisoma chuo gani ambako hata socialization na watu haikukupa akili ya maisha? achilia mbali Elimu

-umesomea nini?

UKIJIBU YOTE HAYA TAYARI UNA PA KUISHI HAPA DAR NA TAYARI UNA KAZI
very true!
 
Huyo bint nae jamaa yake akija si utalala sebuleni uje uanzishe thread nyingine? Lala kwenye gari yako hutabughudhiwa na mtu.

Ennie umempa wazo zuri sana, na ukiwa unatafuta vikwazo vingi kama una gari kula vichwa upate pesa ya kuishi na kupanga mwabepande chumba buku kumi na tano kapange huko mwanzo mgumu. kwa jinsi unavyotaka wewe kimjini tunasema Marioo. kuna mashugamamy unaweza bahatika wakachukua jumla kaza buti safari ndefu.
 
Una gari unashindwa kupanga Chumba Chanika?

ndo hapo sasa na amesema ana hela ya mafuta ya gari..!! unashindwa kukopa 50 kwa washikaji watatu ukapata 150 ukapata room..life ni mdogo mdogo..!!nahisi wewe ni moja ya vijana wanaopendwa mteremko!! alafu sasa ukikaa kwa mwanamke Siku mkatibuana utafukuzwa kama mbwa..!! komaa tafuta maisha yako sio rahisi rahis utakavyo wewe
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

UPDATES
michango ilikua mizuri wengi wametoa ushauri wa kujenga ila kwa reserch hii niliyoifanya nimegundua kwamba wanaume wengi wanaogopa kuchapiwa mademu zao na wana hofu sana na vijana wasiokua na ajira kujishikiza kwa madada wanaowagaramia
PIA KATIKA DODOSO LANGU HILI NIMEGUNDUA KUWA KUMBE KUNA WATANZANIA WENGI WANA MAWAZO YA KUJENGA ILA HAWAYATUMII IPASAVYO BADALA YAKE WANALETA USHABIKI. asanteni kwa kushiriki
Mtaji wa kwanza Gari.. mtaji wa pili.. Ma.kalio yako...
 
Unaonaje ukiliuza hilo gari maana lenyew tu kulkmiliki ni gharama coz lazima ulinunulie mafuta
Ukiliuza utapata pesa za kukodi chumba na kuendesha maisha kwa hiki kipindi unachotafuta kazi
Pesa hizohizo unaweza ukatumia kuanzisha biashara
Huyo rafikiyo anakuona boya kumiliki gari wakati huna kazi wala pakulala ndo mana analotumia vibaya
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

UPDATES
michango ilikua mizuri wengi wametoa ushauri wa kujenga ila kwa reserch hii niliyoifanya nimegundua kwamba wanaume wengi wanaogopa kuchapiwa mademu zao na wana hofu sana na vijana wasiokua na ajira kujishikiza kwa madada wanaowagaramia
PIA KATIKA DODOSO LANGU HILI NIMEGUNDUA KUWA KUMBE KUNA WATANZANIA WENGI WANA MAWAZO YA KUJENGA ILA HAWAYATUMII IPASAVYO BADALA YAKE WANALETA USHABIKI. asanteni kwa kushiriki
Kapange
 
Back
Top Bottom