Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Kaka ulishaambiwa, ukipenda kula vya wenzio na vyako huliwa! Wewe uko Dar umefikia kwa rafiki yako maana yake unatunzwa na rafiki yako, kuna ubaya gani yeye naye akatumia gari lako? Ukiishi na huyo dada ukafanya kazi ya kumpeleka kazini na kwenye mizunguko yake si ni sawa tu na kumuazima gari huyo rafiki yako? Au kilichokukera ni kulala sebuleni??!

Kwanini usipange chumba kukwepa fedheha hii??

to much of something is famful huyu rafikiyangu akitoka na gari asubuhi kurudi usiku wa manane tena na mzigo na akisharudi nahamia sebuleni it heal life ukilinganisha na mwanamke ,mwanamke unaweza kumanupulate akakuelewa ukimpeleka kazini na wewe unafanya mishe mishe nyingine
 
Kaka ulishaambiwa, ukipenda kula vya wenzio na vyako huliwa! Wewe uko Dar umefikia kwa rafiki yako maana yake unatunzwa na rafiki yako, kuna ubaya gani yeye naye akatumia gari lako? Ukiishi na huyo dada ukafanya kazi ya kumpeleka kazini na kwenye mizunguko yake si ni sawa tu na kumuazima gari huyo rafiki yako? Au kilichokukera ni kulala sebuleni??!

Kwanini usipange chumba kukwepa fedheha hii??

to much of something is famful huyu rafikiyangu akitoka na gari asubuhi kurudi usiku wa manane tena na mzigo na akisharudi nahamia sebuleni it heal life ukilinganisha na mwanamke ,mwanamke unaweza kumanupulate akakuelewa ukimpeleka kazini na wewe unafanya mishe mishe nyingine
 
ahahahahaa..dogo umenifurahisha sanaaaa. nimecheka kaa mtoto mdogo. WALIOSEMA HAKUNA BABA MWENYE GARI WALIPATIA KWELI KWELI...KUNA BABA MWENYE NYUMBA TUU. dogo vipi ukiuza gari ukapata pesa ya chumba ukapange na kinachobaki unaanzia biashara upate kipato cha kula na kukidhi mahitaji yako mengine..na kwa vile una degree yako na u-handsome wako naamini utapata wateja wengi sana kwenye biashara yako...au vip dogo?
 
si ulale kwenye gari ndg yangu ? mbona ulaya wengi wanafanya hivyo ?
 
degee si natafutia kazi na iyo gari imenishinda kwa sasa ni mzigo wakati natafuta job

Kama Gari imekuwa mzigo si muachie huyo rafiki yako atumie!! alafu ulikuwa unategemea kwamba kwa vile kakukaribisha ndio asimamishe mambo yake yote binafsi kwa sababu yako? Na kama unataka demu wa kukaa nae kwa nini usimuambie Rafiki yako akusaidie kupata wanaopapatikia magari kama unavyotaka wewe kama yeye anawapata kwa kutumia gari yako?
 
Ungesema hata una qualification gani ukaomba watu wakusaidie kukutafutia kazi... vinginevyo naona kama unatumia mbinu za kizamani kutafuta demu wa kukulea mjini.
 
khaaaa..!!hii kali!me naona uwe unalala kwenye gari,tena kaigeshe ufukweni upate na hewa safi
 
wadada wana huruma ilo swala la good looking wanawake wengi wanapenda ata kama si kimahusiano ndivyo walivyo wanawake wa mjini hawapendi bad looking guys wala usiogope mama jack

We mshamba kweli
 
duh tunasoma ila nahisi hatuelimiki hilo gari ni mtaji tosha kwako mkuu unaweza kuuza hilo gari na ukapata capital ya kufanyia kazi na kama huna mbinu za biashara cheki hilo gari lako unaweza kulifanyia biashara vile vile suala la wanawake wa dar asikuambie mtu unangia rasmi kwenye choo cha kike wanawake hawaaminiki sana huo ni ukweli utaenda kwake halafu ataanza kuleta wanaume pia utasemaje kwa hilo?? maana hujamuoa wala sio demu wako ni rafiki wako tu kama amekupa sehemu ya kuishi na vile vile mkuu samahani lakini ila unaonekana una roho mbaya sana na hujui kuishi na watu huo ni mtazamo wangu lakini kwa sababu huyo unaeishi nae kakukaribisha uje uishi kwake ukiona anakufanyia vitendo ambavyo hupendezwi navyo kwanini usiongee nae umpe ukweli maana inawezekana huyo rafiki yako anaona ni sawa kumbe sio na binadamu tunapokesea hukusoana na mambo yanaenda maana ukiondoka utakuwa hujamsaidia kitabia ataendelea na tabia hiyo hiyo hata kwa wengine umekuja kumuanika hapa JF nakushauri msaidie kwa kumpa ukweli usiogope kwa sababu ni kwake hapana huyo ni rafiki yakonaamini atakusikiliza sisi binadamu tunamapungufu madogo madogo ila tukiambiwa ukweli hasa kwa muelewa tunajirekebisha ikishindikana ndio ufanye njia mbadala, na lugha utakayotumia isiwe ya ukali tumia busara bale unapotaka kumrekebisha mtu tabia mtu mzima hasa akiwa ameshaizoea hiyo tabia.
 
Hivi, hilo gari ulilipata vp kwanza, yaani wewe ulipata pesa ukanunua gari tu zikakata au? kwa nini hukuliacha huko ulikotoka ukaja kutafuta kazi kwanza? hela ya maintanance, mafuta, bima, roadlicence, stika ya faya unatoa wapi? acha hizo bwana mwanaume gangamala.
 
Mleta mada umeshapoteza mwelekeo wa maisha. Yaani unatafuta hifadhi kwa mwanamke, shame on you. Vijana siku hizi acheni aibu, mmeshabandikwa majina tele kama marios, masharobaro, mavingunguti, viserengeti, vitochi, vibastola, viroboto, kupe, kunguri, kifafa, kifaduro, etc, lakini hamkomi.
 
Hivi, hilo gari ulilipata vp kwanza, yaani wewe ulipata pesa ukanunua gari tu zikakata au? kwa nini hukuliacha huko ulikotoka ukaja kutafuta kazi kwanza? hela ya maintanance, mafuta, bima, roadlicence, stika ya faya unatoa wapi? acha hizo bwana mwanaume gangamala.

Maswali haya kaka uliyouliza ni ya msingi sana,ila pamoja na maswali hayo, nina maswali kadhaa ya kumuweka sawa huyu jamaa, KAMA HATA PATA JIBU HII THRED ALITAKA TU ATTENTION YA WATU NA SIYO YA KWELI

1. Anasema kinacho muuzi kwa jamaa yake ni kulala sebulen na gari lake kutumiwa

- hivi kuilala sebuleni ni tatizo? tena wakati unalelewa? alafu si siku zote ni mpaka aje na demu.

-Huyo demu unaye mhitaji uishi naye tena ukimpeleka kazini kwa gari lako kwani si sawa na anavyolitumia jamaa yako?

2. Unataka usaidiwe na mwanamke...

-Na kwanini asiwe mwanaume unayetaka msaada kwake ila mwanamke?

-Kwanini uhitaji kulelewa na mtu usiyemjua wakati umedai una Elimu? huoni ni ujinga?

-Je wajua wanawake hutumika kuwaibia watu hapa Dar es salaam, na a.k.a ya Dar ni Bongo, na kwa akili kama zako utaliwa?

-umewahi kulizwa hata sh. 100 na kibaka hapa Dar?

3. Una gari na ni handsome na una degree

-kuna dought! umeitoa wapi? WAKATI UNA degree na watafta kazi, ungelikuwa in service bila shaka usingetafta kazi! kama ni la ilithi au ulipata kwa njia hata ya bahati nasibu kwanini uje nalo Dar? kulisafirisha kutoka ulikotoka mpaka Dar si ni mtaji tosha wa kujiajiri?

-unahisi elimu imekukomboa?

-ulisoma chuo gani ambako hata socialization na watu haikukupa akili ya maisha? achilia mbali Elimu

-umesomea nini?

UKIJIBU YOTE HAYA TAYARI UNA PA KUISHI HAPA DAR NA TAYARI UNA KAZI
 
uvumilivu ni jambo kubwa mno,,,vumilia mana hapo c unapita tu,,,may be na rafiki yako anaona unamkera ila basi anakuvumila... mwache atumiee tu gari lako usiwe selfish mbona we wakaa kwake???? au hujui nyumba ni ghali kuliko gari
 
Back
Top Bottom