Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

aaaaaanhhhaaa!!!!!! unayaweza kweli!!! c uuze gari upange chumba!! huyo dada akija na bwana ake utatafuta mbibi au!!! khaaaa!!! we hujui mgni siku ya pili mpe jembe akalime!!! hapo tafta kwako!! akufukuzae hakuambii toka!! loooh!!!
 
Mawazo yako yanawakilisha yale ya wasomi wa kiwango chako ambao hawajaelimika na hawawezi kujitegemea kama wewe!!
 
Duh watu mmeponda, hii imenifundisha mengi. Kuanzia leo ntaanza kuheshimu kazi na kujiwekea akiba.
 
Ficha upumbavu wako kama una uwezo wa kumpeleka kazini huyu msichana unayetaka akusaidie kwanin ilo gari lako usilitumie kama tax?,mtafute dereva wa tax mkabizi gari uwe unapata 15k kwa siku,au kama maisha magumu uza gari nenda hata kawe kuna nyumba za bei rahisi za kupanga,acha kubweteka!! Mwanamme asifiwe uhandsome bali kazi na kwenda bank kudeposit au kuchukua midolari!

Gari la urithi wa marehemu baba yake la mwaka 1994, Vitara ya kizamani haifai kwa Tax.
 
huyu kweli hazimtoshi! gari na degree hafu bila aibu anadhubutu kusema analala sebuleni kwa rafiki yake wa kiume? Hiyo gari kaipataje?

mwenye akili angeweka kijiwen kama tax bubu apate pesa ya kodi ya chumba kimoja cha uswaz akipanga mambo ya mbeleni.
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

Sio mfano wa kuigwa!!
 
O.K pole sana tatizo hukujipresent vizuri aidha kwa msongo wa mawazo au umri wako bado mdogo.Nijuavyo mimi kawaida ukimuazima mtu gari hata kama ndugu yako lazima alimisuse ni wachache sana watalitumia kwa uaminifu itakuwa huyo aliyekubebahata ukiangalia ajali nyingi wengi ni wale waliozima magari ya watu.Nakushauri gari usiuze coz yamepanda bei sana halafu asset ni kitu cha kuuza kwa sababu za msingi sana what if ukauza hilo gari na usipate kazi ndani ya miaka miwili utakuwa umefanya nini?Nakushauri kipindi ulicho nacho ni mapito tu tegemea na ulichosoma itakurahisisshia kupata kazi.nakushauri rudisha gari kwenu ukalipark au kwa ndugu au rafiki unayemuamini ila funguo ondoka nazo kwa sababu nijuavyomakazi mengi ya dar utapata pa kulala lakini parking itakusumbua,halafu ukiwa mwenyewe yaani kisela bila mizigo ndo utafute pa kujisitiri tafuta hata marafiki uliosoma nao achana na mawazo ya wanawake hapa utaishia kupata mimama au hata wanaume wenzako usicheze na hu mji,I know the situation you have lakini achana na hayo mawazo halafu we mwanaume gani ?mwanaume kupigana lazima we sio mchaga umetokea ziwani?nakutakia kheri
 
hapa najaribu kuimagine sasa huyo dada atakayekuchukua atakuwa anakutambulishaje?dereva?mwennye gari?bwana?rum met?gigolo? au nani?wadau nisaidieni!
 
Hela ya mafuta ya Gari unayo, lakini hela ya kulipa kodi ya chumba huna.
Unataka kuishi na mdada eti utampeleka kazini kwa gari. Kwanini hiyo hela ya mafuta usitumie kupanga chumba chako.
Halafu unasema umesoma degree wakati inaonekana Unafikiria kwa kutumia kiuno.
 
Back
Top Bottom