Hii ni kwa Wanaume wote ni malimbukeni wa Mapenzi

Well said kaka KIKUNGU, sidhani kama ni rahisi kama ABC na si 1+1=2 jibu linaweza kuwa 0 au 3.

Ila haya mauzi ya A B C za mahusiano yanachanganya kama sio kuchosha Khah! Ngoja nami nije na iliuzi la sifa za wanaume!

Mmmh dada KAUNGA wanyamwezi wanasema liwelelo.Nasubiri huo uzi dada yangu labda naweza jitambua mimi ni waaina gani ili 'wifi' yako asipate tabu
 
Ha ha ha
Ngoja usiku nijipinde ili niwanyanyase wanaume kwa muda! LOL
Ila hujanitambulisha kwa wifi to be!
 
yaani mtoa mada mi mwenyewe wacha nitoe ushuhuda wangu katika hili maana hata mimi mwenyewe kila siku nashobokewa na warembo kila siku ila mie wangu ni wa kawaida mno na naweza kusema kuwa ni extra genius katika house management,ahsante kwa mtoa mada kwa kuliweka bayana hilo maana mie nilikuwa najua kuwa hiyo ni my personal point of view.
 
Hii ni nzuri sana watu hufikiria shape, japo pia wako sawa pia ukiwa a mwanamke wa ajabu watu watakushangaa, ila kwekweli binafsi naunga mkono mwanamke awe mzuri kwa kadiri utakavyopenda, awe na uwezo wa kufikiria na awe na ubinadamu, wengine ni matapeli, zaidi awe tayari kuwa mke! kuwa mke ndiyo wengi hawawezi yeye anatka akiingia awe Regulator, na ku impose mi sheria ya kipumbavu, sasa huyu anakuwa ameshindwa mapema na familia inaanza kuyumba.
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Asante kwa kuileta huku japo iko fb kwa mwana mmoja hivi,sasa najiuliza ni wewe au nani kamcopy mwenzie????????
 
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!

Hebu njoo tena we mdada, maana hapa hueleweki unaongelea mapenzi au ndoa!!! Being sexy material and being marriage material are two, very different but both positive qualifications. Usituchanganye tafazali
 
Mwaya Eiyer usiwasikilize hao, kwanza ya kwangu hayayumbi yumbi hivyo hata akili zangu zimetulia!
LOL
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi
,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!

Wewe inaelekea umeathirika kisaikolojia kwa kuachwa na mpenzi wako ambaye ameenda kwa mwenye jiumbo la kutisha!

Nisamehe kama nimekukwaza.
 
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!

Reception dadaangu ina nafasi yake. Uzuri uonekane, matatizo ya nyumbani yamalizike chumbani huwa hayana mshuhudiaji. Wazee walisema mambo ya nyumba kunga!
 
Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuubwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Kwa hisani ya watu wa Marekani!

upo sahihi kabisa
 
wee wacha maneno...shape muhimu sana kama akili ilivyokuwa muhimu....kama wapenda **** kubwa wwe tafuta demu mwenye **** kubwa sii ndio kitu roho yapenda bana.
 
nipo rafiki, mie mzima! Mwambie majoki bana kua mbona wewe una shape nzuri na una akili vile vile, asiende kwenye sinario moja tu lol

kimey i can smell you huna lolote una lako jambo Hahaaa
 
wee wacha maneno...shape muhimu sana kama akili ilivyokuwa muhimu....kama wapenda **** kubwa wwe tafuta demu mwenye **** kubwa sii ndio kitu roho yapenda bana.

we mzabizabina we try to understand usimeze tu mazima mazima tafuna kidogo mkuu....the way nilivyoongelea utaona nimemaanisha imekua ni fashion nowadays kila mtu anaangalia **** na sura nzuri kwanza na shape kwa jumla kama criteria za msingi kabisa na za awali za kuanzisha mahusiano ya mume na mke, ila kiukweli hata mkibisha hadi kesho wengi wao (asilimia kubwa) believe me or do your own research kichwani hamna kitu. na mapedeshee wa jiji watakushikia sana pindi upo safari, Na dada zetu hawajaumbwa kukataa kataa tu, wakati mwingine wananyoosha mikono
 
Vijana ambao hamjaoa kuweni makini sana na hawa wadada wenye mklio makubwa wengi wanakuwa na mabwana wengi sana, si wanawatafuta ila wanaume sisi wenyewe kwa tm zetu tunajidhalilish kwa tamaa na ktoa pes nyingi kwa huyo mwanamke ili tu umpate, na si mie tu na mwingine nae atataka atatangaza dau lake, and so on and so on, mwananmke ataona hay ndo maisha km si mwangalifu atashindwa kujizuia na kuingiliwa na tamaa ya pesa thus mwanamke anakuwa spoiled tu.

truee say kbsaa...
 
Back
Top Bottom