Hii ni kwa wanaume wakware tu (she is waiting for you)!

Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
Wanaumeeeeeeeeeeeeeeee..................
Endereeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................
 
No huyu ni mwanamke anayesubiri perfect man na hata pata she 'll wait forever, that my guess.
 
Lakini ujumbe ni kwamba:

Haiwezekani kwa mwanamke kumpata mwanaume ambaye yuko perfect kwa kila kitu,kila mwanaume ana mapungufu yake.Sasa huyo naona alisubiri weeeeeeee mpaka perfect man atokee wapi hakufanikiwa mpaka kakauka kiasi hicho! Duh
 
nasikia eti kuna maeneo ya kurasini mivinjeni,mbagala kiburugwa,mtaa wa nkuruma,
daraja la salenda..........waweza kutana na demu mreeembo ajabu ukifika nae chumbani anageuka kitandani ndo unakutana na kitu kama hicho.
 
you can say that again!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom