Hii ni kwa Wanaume tu.

Tin-Tin

Member
Oct 4, 2012
5
1
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa kuendelea kuwa marafiki na huyo mtu?
 
mi nlijua mijimama ndo huwa inawataka serengeti boys.kumbe hata vijana wanapenda dezo dezo za mijimama!duh
kama ni mtu mzima huyo ni kama mamako, sio rafiki yako.
 
The main ajenda ya kumfuata haikuwa friendship, so hakuna kitu kama kuwa marafiki hapo. Mbona kumfuata mtu na kuomba urafiki when you know thats not what you want,from the onset she should know why ur there!
 
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa kuendelea kuwa marafiki na huyo mtu?

Tafuta mwingine ila sasa usitafute 'mtu mzima', tafuta wa umri wako! Inawezekana huyo mtu mzima haapendi mahusiano na viserengeti!
 
Akikushit amekusaidia. Nawe kumsaidia ni kuacha kumfuata fuata. Je kama wote au mmojawapo ana ngoma? Kilichokuangusha ni approach yako. Huwezi kuja unataka urafiki wa kuheshimiana halafu unageuza kibao. Anakuona mchovu na asiyejiamini. Laiti ungempa from the day go kuwa ulilenga nini asingekutolea kirahisi hivyo.
 
Mwanamke hukutosa kwa sababu zifuatazo:

  1. Hakutaki!
  2. Anakupima kama upo serious na kumtaka kwako
  3. Unaonesha haupo serious na kumtaka kwako (yaani umemtongoza kimzaha mzaha..)
  4. Siku hio aliamka vibaya, mwanaume yeyote siku hio angemtongoza jibu siku hio lilikuwa NO! Period!

Jiangalie upo wapi kati ya hizo sababu kwa nini kakukataa... Ikitokea kuwa unajua hakutaki - Urafiki haupo, sepa haraka sana. Kama anakupima upo serious ama lah! kuna namna ya kukukataa... (anakuwa anakukataa kwa msisitizo wa kiwango cha chini sana - kama ni nut haijakazwa, imfungwa tu... Lol)

Nina wasi wasi kuwa ulipomtongoza uliingia kwa woga, hukujipanga huku ukiwa na negative attitude kuwa huamini atakubali ama kukataa kwa kujua kuwa ni mtu mzima aweza kukataa... (hii inajieleza kwa gear yako ya kutaka kuwa marafiki wakati ulikuwa ukumtaka; uliharibu toka ulipoanza).
 
urafiki haukuwa kipaumbele, ziwa/bwawa halina samaki ndani ya maji watafuta nini kama si kuzama?
 
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa kuendelea kuwa marafiki na huyo mtu?

ahahahhaahh za uso mbaya sana unajua!pole mwayego
 
Kama nia ilikuwa ni mapenzi bora kunyoosha njia maana kuendelea nae ni kujiumiza na matokeo yake ni kugeuzwa Zombiii!
 
vitoto siku hizi vina spidi.

Unaona kitoto saizi ya kijana wako kinakuamkia afu kinasema 'umependeza'

yaani nakikimbiza hadi kwao.
nlikuona leo wakati natoka job, ulikuwa umependeza sana na lile vazi la batiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom