Hii ni kwa wanandoa tu!!!!!!!!!.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
 
kwanza na weye lazima tukushangae kidogo,........................

yaani ukihitaji hiyo huduma ni mpaka uombe permit?yaani mpaka umuulize au sio..................

sidhani kama upo sawa hapo................................

haya mambo yanaenda kidigitali tu mshiki..................ni matendo pasipo kuongea...............

ukiona umeshikwa hapa, umeguswa pale....mkono umekuja huku!vinguo vya utatanishi...................basi ndo ujue genda eka hiyo................

Vijana mbona mwaniangusha bana............................

Ngoja aje Ashadiiii hapa nadhani atakusaidia zaidi...........
 
Ni ukweli kuna baadhi ya wanawake huwa ni wagumu wa kuwaomba wenzi wao mchezo na ni wagumu wa kukueleza kama ameridhika au la! Hiyo haimananishi hakupendi, utakuta ni mtu ambae ana wivu lakini anakosa uhuru wa mapenzi kwa mwenzi wake. Tatizo kubwa linalowakqbili wanawake wenye tabia hii ni uoga na aibu kwa mbali ikichangiwa na malezi japo elimu inaweza kuvanishi hiyo tabia inayotokana na malezi. Ukishamjua mke wako yupo hivyo wala usihangaike, bora ukihitaji anakupa basi wewe endelea kula vyombo baba kila ukihitaji, kama hataki atakwambia hilo naamini.
 
jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.

samahani kwa upande wa dini yetu ukisoma baibo akuna sehemu mwanamke atampenda mwanaume waamesema mwanaume atampenda mwanamke na zaid wakaongeza mwanaume aishi kwa akili na mwanamke..
So hapa unaweza jua tendo la ndoa linaitaaji upendo..nakama kupendwa nani anaetakiwa kupenda...kwa baibo yanagu ni mwanaume ndie anapenda..yeye bibie anafanya kazi ya kukutunza ikiwamo kutokunyima unyumba usitoke nje ya ndoa
so usiache hata kidogo wala sio anakuogopa anafwata alichosoma..kingine uishi nae kwa akili hili ndilo limearibu ndoa nyingi wanaume wengi wanatakaa kushindana na wanawake never uwezi nduguyangu...usione haya wala aibu kumwambia nataka tunda ..inapofika swala la kuishi na akili na mwanamke
ni pamoja na kumwelekeza kwamba unajua wewe ni binadamu na unaweza ukawa unahisi kula tunda lako unaona aibu pls naomba hny ukishindwa kuniambia basi hata ni sms mi ntatangulia kunako ......ukifika kwenye chumba unamwekea wimbo wa :::""akunaga :""""""""""" kila siku atakuwa anasms inabidi umsaidie sasa jinsi ya kuweka sms za bure kama tigo 15509
bye
 
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.

Dah, Ingekuwa vizuri ungaanza kumuuliza yeye ili tukawa na mwanzo mzuri ktk kuchangi. Wanawake Wengi ni wadhaifu sana hivyo wakati mwingine kukuomba dozi anaona kama ataonekana malaya au sio mvumilivu hivyo waamua kuugulia maumivu ndani kwa ndani.
 
mbona hayo mambo ya kuombana ni ya kizamani pale babu na bibi walipokuwa hawashei bedroom, sasa kama mnalala kitanda kimoja na room moja kuombana kunatoka wapi? siku hizi mambo ni automatic as long as hakuna ugonvi.
 
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.
Ni yeyote aliye na hamu,..halafu acha tabia za kibaguzi_eti kwa wanandoa tu kwani sisi single hayo mambo hatujui...unaona sasa mm single na nimetoa best ushauri kuliko hata badili tabia,bacha.mamdenyi,mzee wa rula,maskni jeuri,f/b etc walio oa.....tupe heshima yetu bana
 
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa? Maana siku zote mimi huwa ndiye ninayemwambia mke wangu kuwa nina hamu na tendo la ndoa.Sasa huwa nabaki nikijiuliza au huwa namkwaza mwenzangu,au huwa anaogopa kuniambia?,au huwa hana hamu na mimi? Au huwa hataki tuu. Tafadhali naomba tufahamishane.

kiburudisho , kila mmoja ana haki ya kudai chakula cha usiku kwa wakati wowote .. na sie binadamu kila mtu ana wakati anakuwa na mood ya kufanya na kunakipidi unaweza kuwa huna mood lakini kwa vile mwenza wako anahitaji inabidi ujiweke sawa kumtimizia.. lakini inapotokea hili suala linakuwa kwa upande mmoja basi hapo huwa kuna tatizo lakini mara nyingi wakina mama wanapotoka kwenye uzazi /au wakiwa kwenye malezi ya wachanaga (kunyinyesha) baadhi hupoteza hamu ya tendo .. hivyo yakupasa ukae nae uongee nae ikiwezekana kama hana majukumu ya malezi basi jaribu kutoka nae walau mbadilishe uwanja mwende uwanja wa ugenini labda unaweza kumfanya asikie utofauti
 
kwanza na weye lazima tukushangae kidogo,........................

yaani ukihitaji hiyo huduma ni mpaka uombe permit?yaani mpaka umuulize au sio..................

sidhani kama upo sawa hapo................................

haya mambo yanaenda kidigitali tu mshiki..................ni matendo pasipo kuongea...............

ukiona umeshikwa hapa, umeguswa pale....mkono umekuja huku!vinguo vya utatanishi...................basi ndo ujue genda eka hiyo................

Vijana mbona mwaniangusha bana............................

Ngoja aje Ashadiiii hapa nadhani atakusaidia zaidi...........

ahh kungwiiiiiiiiii...bashashiiiiii bashasha...ramshadaaaaaaaa rijali wangu....wape wape ao..wafunde wafundike....!!!!!!!!

yawezekana mdau kashindwa kusoma LUGHA ZA VITENDO ZA mkewe..raman imempta kushoto...labda bibie anatumia body language...lakin jamaaa wapppppp asomi..kavalia vinguoweeeeeeee lakin wap kashindwa kusoma...yeye ANATAKA aambiwe BABA NYAMBITA TAFADHALI TUGECHANE...ahh ngumu wanawake awatumiii sentens bwana....gestures tu ..na ukishindwa kunata na bit bas imekula kwako..

labda mkeo pia anajiuliza ahh mbona mme wangu kila nkitaka anipi?..ajui km namwonyesha nataka njunju leo?

vunja ukimya laronge nae uenda yeye pia kinamuuma..kumbe we kipofu wa lugha za mafumbo
 
leo umeamua kutoa ushauri wa haja kweli kweli,...thanx sana
 
mbona hayo mambo ya kuombana ni ya kizamani pale babu na bibi walipokuwa hawashei bedroom, sasa kama mnalala kitanda kimoja na room moja kuombana kunatoka wapi? siku hizi mambo ni automatic as long as hakuna ugonvi.

well said...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom