Hii ni kufuli ya First Lady au sio kufuli jamani?

Majukumu dia acha tuu natamani kuwa mtoto tena :A S embarassed:

Hujambo MR!? Naona unakaribia kukamilisha lengo lako la kuchukua kitu kikali. Bado miezi miwili tu tufike mwisho wa mwaka, itakuwa Xmas gift ambayo utaifurahia sana kwa miaka mingi ijayo.

bmw-x5-facelift-m-sport-package-2010-4.jpg
 
Aaamen BAK dah hii kitu yaninyima usingizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nilijua wetu ndio maana nimefungua fasta nione kumbe wa braza obama huyo haina shida kule kwao hainaga noma
 
Back
Top Bottom