Hii ni kawada na ni jadi yetu pia.

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Kuwasamehe wafungwa, waliotukosea na kuanza. Tunawaomba invisible mwasamehe wale wote walipigwa bann za kudumu na za muda. Plz msimusahau WA KUSOMA, mwacheni huru tumemmis jamvini.
Nawasilisha kwa mjadala.
 
yaan kongosho umepatia kabisaaaa!
Nilivyo anza kosoma huu uzi mchafu nikajua ni yy huyu kiroboto.
 
Mwenyew nimekula ban hii account ya kuchakachua..Ban mbk January 22 mae..haya huyo wakusoma alifanya kosa gani??? aligombana na excellent tena?

Yan bado na hii ni account yako WA KUSOMA.Kweli we bado mtoto.
 
Halafu ona na hiyo ID ya HENDISOME ni yake, na zote zimefunguliwa trh moja na COMPLICATOR.


Kule JF Doctors,keshafanya mambo kwenye thread moja [kupumua]. Amechangia anavyojua kwa User names za hendisamu na Tbag Hatari. Amekiri kuwa zote ni za kwake,na Tbag Hatari ilishakula bann tena.
 
Mijiti mingine haipendi maendelea ya wenzao. Nimekubali humu JF wengi ni waganga wa kienyeji. Pole sana WA KUSOMA najua unabrowse kama guest lkn jipe moyo 19th January sio mbali utarudi lkn jirekebishe mdogo wangu, wasiwasi wangu ni kwamba shule zitakuwa zimefunguliwa
 
Mijiti mingine haipendi maendelea ya wenzao. Nimekubali humu JF wengi ni waganga wa kienyeji. Pole sana WA KUSOMA najua unabrowse kama guest lkn jipe moyo 19th January sio mbali utarudi lkn jirekebishe mdogo wangu, wasiwasi wangu ni kwamba shule zitakuwa zimefunguliwa

Mh! Kaazi kwelikweli...
 
tatizo WA-KUKARIRI (WA-KUSOMA) anafikiri wote tunao log inn hapa ni watoto wa age yake bila kujua wengine tunatarajia vitukuu sasa.

tabia ya mtu haibadiliki wa kukariri hata ukifungua account ngapi, mwisho wa siku sisi tunaangalia pumba zinazoandikwa + tarehe ya kufunguliwa account kama ni sawa au baada ya kupigwa ban is equal ni wewe yule yule

kua mtoto uanze kula serelac uachane na maziwa ya mama hayo kabla hujaanza kula ugali wa dona
 
Halafu ona na hiyo ID ya HENDISOME ni yake, na zote zimefunguliwa trh moja na COMPLICATOR.
Sasa kuna kitu mi sijaelewa hapa,Tbag Hatari yupo ban,wakusoma yupo ban,halafu complicator na HENDISOME wamekuja.
nimeshtukia hizi ID zote hata kwa mwandiko na reply zake zinafanana na Tbag Hatari,halafu ukiangalia friends wa WA KUSOMA
ni huyo Tbag Hatari.
Sasa imekwaje mbona Tbag Hatari na mimi tunafahamiana halafu inakwaje ananianzishia bifu na ID zake zingine?
Mkuu wewe si WA KUSOMA,Complicator,Hendisome,ila ni Tbag Hatari.Acha hizo mkuu hayo mambo hayafai
 
Hivi jamaa unamjua kwa sura au kwenye JF?
Namjua kwa sura,mpaka ban yake ya Tbag Hatari akaniuliza jinsi ya kufanya ili mods wamsamehe,kumbe duh mambo ndo hvi
,ningejua mwanzoni kwamba ndo yeye nisingehangaika naye hata
 
Back
Top Bottom