Hii ni ishara watanzania wamekosa imani na serikali yao?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Kila kukicha utasikia watu wanaandamana, wamegoma kutoa huduma, wamefunga barabara n.k
Itatoa ishara gani hii? Watanzani wengi wanajua watawala wetu wameingia madarakani kwa uchachuaji. Hivyo hawana imani nao, Hawana imani na utendaji wao, na mbaya zaidi watawala wameshindwa kuirejesha imani kwa watanzania.
 
Uo ni mtazamo wako, lakini nadhama siyo tafsiri yake. Mambo kama hayo yanaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile misukumo ya makundi mbalimbali kama vile Wanasiasa, wanaharakati kwa maslahi binafsi n.k. Hivyo basi Serikali haiwezi kushindana na watu wa aina hiyo ambao hawaitakii mema nchi yao.
 
Huo ni mtazamo wako pia. Dhana ya maslahi binafsi kwa mambo ya msingi imekuzwa na wanasiasa wasiopenda kujishughulisha (wavivu). Mambo yanayoisukuma jamii kujichukulia sheria mikononi yanachangiwa sana na kutokuwajibika kwa kada fulani. Mfano wezi kuchomwa moto, kumechochewa sana na mfumo wa utoaji haki, polisi, mahakama na magereza. Maandamano na machafuko kama ya Mbeya, yanasababishwa na uwajibikaji usioridhisha wa serikali. Migomo na kadhalika ni sababu ya kushindwa kwa mfumo. Mfano ni mtu gani anayewachochea wanavyuo kugoma kwa ajili ya kudai fedha za mikopo? Kwa uvivu wa kufikiri wa baadhi ya majuha ya kisiasa watasema ni harakati za chama fulani. Je, ndio uhalisia wa jambo hilo?
 
You do not need a University degree to get an answer.
Tanzania is a typical example.
 
wa tz tumekwisha kwa style hii wala haihitaji elimu ya sekondari kuelewa kinachojiri ndani ya jamhuri yetu. waliopewa dhamana wamekwama.
 
yanayotokea Tanzania, yanawezekana Tanzania tu, sehemu nyingine Dunia wananchi wangekua wamesha wawajibisha viongozi...
 
Uo ni mtazamo wako, lakini nadhama siyo tafsiri yake. Mambo kama hayo yanaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile misukumo ya makundi mbalimbali kama vile Wanasiasa, wanaharakati kwa maslahi binafsi n.k. Hivyo basi Serikali haiwezi kushindana na watu wa aina hiyo ambao hawaitakii mema nchi yao.

Mbona una mawazo mgando..Kwani ni uongo.Au unawatetea magamba.Ni kweli kwa viongozi wengi madaraka wameyapata kwa jnsi hiyo..
 
Uo ni mtazamo wako, lakini nadhama siyo tafsiri yake. Mambo kama hayo yanaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile misukumo ya makundi mbalimbali kama vile Wanasiasa, wanaharakati kwa maslahi binafsi n.k. Hivyo basi Serikali haiwezi kushindana na watu wa aina hiyo ambao hawaitakii mema nchi yao.

Serkali ikiwajibika hata asilimia45 hakuna kwere! Nakushangaa kuacha misukumo yenye mashiko ambayo ni mbegu ya uasi bro!
 
Uo ni mtazamo wako, lakini nadhama siyo tafsiri yake. Mambo kama hayo yanaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile misukumo ya makundi mbalimbali kama vile Wanasiasa, wanaharakati kwa maslahi binafsi n.k. Hivyo basi Serikali haiwezi kushindana na watu wa aina hiyo ambao hawaitakii mema nchi yao.

Toa tafsiri ya "maslahi binafsi" naona kamekua kakichaka ka wavivu wa kuelewa, narudia "wavivu wa kuelewa" usikute upo kichakani.
 
Back
Top Bottom