Hii ni hatari ikiendelea hivyo taifa litakuwa la wagonjwa tu!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Uchunguzi unaonyesha idadi ya wanaojiita wanaoumwa vidonda vya tumbo imeongezeka maradufu tangu wiki hii ianze kitu kinachotishia uhai wa tz!<br />
Kila unaekutana nae anakuambia kuwa hajafunga kwakuwa anaumwa vidonda vya tumbo!
 
Acha kabisa usiseme hii k2..mie niko kwenye dozi mkuu,baada ya hapo nenda shuleni na vyuoni,you cnt imagine brother kaka.
 
Acha kabisa usiseme hii k2..mie niko kwenye dozi mkuu,baada ya hapo nenda shuleni na vyuoni,you cnt imagine brother kaka.
 
Jamani kuna dawa ya kienyeji mbona watu wanapona kabsaa
NawaoNea huruma watz maana issue zimEkuwa nyingi epa,kagoda,giza,richmond etc
 
Ile dawa ya Fiterawa ya Daktari Rahabu Lubago ni kiboko niko mbioni kupona nendeni buguruni ndugu zangu japo ni gharama kubwa
 
Tatizo siyo kuumwa au dawa ni ukata. Hata kabla ya mfungo watu wamefunga sasa leo ndo kabisa atasema amefunga ikisha anasema analipisha.Hali tete.
 
Jason una agenda gani ? ulianza na kina joti kudhihaki waislamu na sasa eti vidonda vya tumbo vimezidi mwezi wa ramadhani,let it go bro.
 
Back
Top Bottom