Hii ni hatari eh?

JosM

JF-Expert Member
Oct 11, 2008
679
17
attachment.php

"Wanangu msijali tutafika tu manake mungu ni mkubwa"
ni kama ndivyo anavyofikiria mawazoni mwake jamaa huyu ambaye amewapakia
watoto saba katika pikipiki yake yeye akiwa mtu wa nane,
bila hata kujali kwamba anahatarisha maisha yao na yeye mwenyewe kwakweli hii ni
kali wadau hebu iangalieni na kuchangia maoni yenu.
pi.JPG
 
mkuu hivi hii ni ya hapa hapa bongo?kama ni kweli traficc police wanafanya kazi gani? kweli bado tuna kazi ya kufanya na kweli ni watoto wake basi ni hatari tupu.
 
mkuu hivi hii ni ya hapa hapa bongo?kama ni kweli traficc police wanafanya kazi gani? kweli bado tuna kazi ya kufanya na kweli ni watoto wake basi ni hatari tupu.

Ni hapa Bongo mkuu.
 
Mhh ya huyu jamaa ni kazli,hawa wato ni watoto wake au? anyway hata kama ni watoto wake haina shida ila haoni kama anahatarisha maisha ya hawa watoto?Maana hapo ikitokea ajali anaweza poteza familia nzima.
 
hapa jamaa alikuwa anarudi kutoka kanisani na familia yake.
 
hii balaa,jamani sasa ajali ikitokea c harusi hii? Maana cyo msiba.Traffic kazi yenu nini?
 
Duuuuuh am speechless. kwa hesabu za haraka hawa kweli ni watoto wa mshkaji na unaeza kuwapanga wakwanza adi wa mwisho! na inawezekana wife yuko home pregnant. hatari kwelikweli
 
Hii haina shida, inahitaji tu umakini wa mwendeshaji na mazoea. watafika tu.

Note; ukikata tamaa hufanikiwiiii.
 
Back
Top Bottom