Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Wazazi wa hao watoto wako wapi?
wapo msikitini wamejifungia wanakimbia wasihesabiwe na makarani wa sensa.
Wazazi wa hao watoto wako wapi?
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?
Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?
Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?
mpotezee hana mpango huyo.......Funga bakuli lako ushuzi we...
Hujui bifu la Lulu na mabaunsa wa Bills.
Kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe
Clouds wanaharibu maadili ya watanzania kuanzi lugha chafu ubaguzi wa wasanii na kuegemea upande wa ccm
Tamasha linaanza saa nne asubuhi na watoto hata wa miaka mitano wanaruhusiwa kwenda kwa vile muda rasmi wa kufunga ni saa 12 jioni. Sasa kama muda huo hufungi na linaendelea hadi usiku ndio tatizo lipo hapo.Tusiwalaumu clouds tu hata maadili kwa ujumla yameporomoka kuanzia majumbani mwetu, mleta uzi anawalaumu clouds kuruhusu watoto (under 18) wakati watoto hao hao wana wazazi wao huko watokako, mie nadhani tuanze na majumbani mwetu kabla ya kutupa lawama kwa hawa jamaa maana tukiweka sawa majumbani kwetu maana yake hata wateja watoto hawatakuwepo hence huenda matamasha yatakuwa hayapo au yatapungua kabisa.
Hata serikali nayo imelala nakumbuka miaka flani ya 90s kuna miss alishinda Dodoma alikuwa ni miss Tanzania, pamoja na ushindi wake, pamoja na kwamba alikuwa anasoma shule ya day na ilikuwa private (Central secondary) lakini bado waziri wa elimu (Prof Sarungi) aliingilia na sheria ikachukua mkondo wake kwa kumsimamisha masomo kwa kuingia kumbi za burudani usiku. Kila tatizo linapotokea tusilaumu pande moja tuangalie linasababishwa na nini (ni kuangalia visababisho vya kila tatizo mwisho wa siku tutakuja na njia mbadala za kuzuia tatizo kwa mapana badala ya kuangalia clouds radio pekee maana watajitetea na kusema ni ngumu kutambua umri wa mtu hasa ukizingatia watoto wenyewe ni ma-broiler, mtu ana 15yrs anaonekana kama 22yrs
Na SIMBA SPORTS CLUB!na Maha Rage wao!Clouds wanaharibu maadili ya watanzania kuanzi lugha chafu ubaguzi wa wasanii na kuegemea upande wa ccm
Tamasha linaanza saa nne asubuhi na watoto hata wa miaka mitano wanaruhusiwa kwenda kwa vile muda rasmi wa kufunga ni saa 12 jioni. Sasa kama muda huo hufungi na linaendelea hadi usiku ndio tatizo lipo hapo.
Kuhusu maadili katika familia zetu hiyo ni mada nyingine.
mbaya zaidi watangazaji wa clouds wanajifanya wanajua kila kitu kuwa wasemalo wao ndo sahihi, upuuz mtupu
i never knew you were this low.
Officially off my respect list.
Funga bakuli lako ushuzi we...
Hujui bifu la Lulu na mabaunsa wa Bills.
Kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe