Hii ni Hatari!Clouds Waliangalie Hili

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,217
Hapa Mwanza Clouds. Wanaendesha tamasha la Fiesta ambalo huwa linaruhusu hata watoto wadogo kuhudhuria.Lakini pamoja na kuruhusiwa lifanyike hadi saa 12 jioni lakini sasa hivi ni saa tatu usiku tulio viwanja vya karibu tunasikia linaendelea.Hii inaweza kuleta madhara kwa vijana wadogo hasa baada ya kufunga usiku.
 
Ccm hao polisi hawatawachukulia hatua,ingekua mkutano wa cdm pangenuka hapo
 
mmmmhhhh hi sasa ipo nje ya uwezo ngoja nikatize niende zangu gt kidogo..
 
huko hamna sensa nini?au restrictions ni kwenye mikutano ya chadema tu.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Clouds wanaharibu maadili ya watanzania kuanzi lugha chafu ubaguzi wa wasanii na kuegemea upande wa ccm
 
Clouds wanaharibu maadili ya watanzania kuanzi lugha chafu ubaguzi wa wasanii na kuegemea upande wa ccm
mbaya zaidi watangazaji wa clouds wanajifanya wanajua kila kitu kuwa wasemalo wao ndo sahihi, upuuz mtupu
 
Concrete najaribu kufikiri kwa sauti....mana chadema wameambiwa wanaingilia zoezi la sensa tena uko kijijini,ilhali sie wa mjini tu hapa hatujahesabiwa
 
Last edited by a moderator:
Hapa Mwanza Clouds. Wanaendesha tamasha la Fiesta ambalo huwa linaruhusu hata watoto wadogo kuhudhuria.Lakini pamoja na kuruhusiwa lifanyike hadi saa 12 jioni lakini sasa hivi ni saa tatu usiku tulio viwanja vya karibu tunasikia linaendelea.Hii inaweza kuleta madhara kwa vijana wadogo hasa baada ya kufunga usiku.

Kama mzazi hii imenigusa sana. Nafikiri wangeweka Toto Fiesta(km Toto Disco) hadi saa12 then wakubwa wakaendelea baada ya hapo.
 
Hapa Mwanza Clouds. Wanaendesha tamasha la Fiesta ambalo huwa linaruhusu hata watoto wadogo kuhudhuria.Lakini pamoja na kuruhusiwa lifanyike hadi saa 12 jioni lakini sasa hivi ni saa tatu usiku tulio viwanja vya karibu tunasikia linaendelea.Hii inaweza kuleta madhara kwa vijana wadogo hasa baada ya kufunga usiku.

Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?

Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?
 
Kwanza hiyo radio imeanza kupoteza umaarufu.muda si mrefu itakuwa kama tbc afu watu tutaidis kabisa.hata matangazo yao yamekaa kiccm ccm tu.
 
Nani kakwambia huo uongo, Zoezi la sensa ni mchana na usiku, wapo wakuhesabiwa mchana na pia wapo wa kuhesabiwa usiku.

Hapo kwenye mikutano sababu ya sensa serikali ilichemka, mbona nyumba nyingi zilikuwa zinaendelea na shughuli zao kama kawaida na bado wakahesabiwa, ingekuwa tunahesabiwa watu wote kwa pamoja kama vile muuza nyanya anavyochuaa stock yake hapo ndio ingekuwa reason ya kusimamisha mikutano ya CDM
 
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?

Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?

Funga bakuli lako ushuzi we...
Hujui bifu la Lulu na mabaunsa wa Bills.
Kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe
 
Acha majungu ndugu
Unaushahidi wa hayo unayosema?

Au unajifanya hujui bilikanzi walikuwa wanaingia akina lulu na miaka 15 na wanakesha hadi asubuhi?

i never knew you were this low.
Officially off my respect list.
 
Back
Top Bottom