HII ni hapahapa TANZANIA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
'Eagle' amekamata Mamba kama chakula chake. Mamba ujanja kwisha kabisa. Unacheza na 'Eagle' wewe...
 

Attachments

  • lv_eagle_crocodile_dm_121010_wmain.jpg
    lv_eagle_crocodile_dm_121010_wmain.jpg
    33.7 KB · Views: 535
Eagle ni nouma, ukiangalia kwa makini utaona eagle amembana mdomo huyo mamba asimletee za kuleta. Baada ya hapo ataenda naye juu sana halafu atamuachia akajipigize kwenye jiwe ardhini. Mwacheni muumba na kazi zake.
 
'Eagle' amekamata Mamba kama chakula chake. Mamba ujanja kwisha kabisa. Unacheza na 'Eagle' wewe...

Huyu ni mamba au mtoto wa mamba? ukimcheki anaonekana kama kenge tu!mi naona ni kama kenge, nina mashaka aliyenasa picha hii hakujua kama ni kenge
 
Huyu ni mtoto wa mamba lakini ndio mamba mwenyewe huyo sasa amekutana na
snake eagle kazi nzito
 
Huyu ni mamba au mtoto wa mamba? ukimcheki anaonekana kama kenge tu!mi naona ni kama kenge, nina mashaka aliyenasa picha hii hakujua kama ni kenge
hata mtoto wa mamba ni mamba pia pamoja utoto wake bado nguvu za huyo ndege zinadhihiri kuzingatia na ukubwa mamba pichani.
 
'Eagle' amekamata Mamba kama chakula chake. Mamba ujanja kwisha kabisa. Unacheza na 'Eagle' wewe...

Huyo mamba mtoto kabla hajabebwa nae alikuwa na ka fish mdomoni..full story!

A baby crocodile, which when fully grown would expect to be top of the food chain, has become lunch for a hungry bird.
In the rare example of one top predator eating rival of another species the fish eagle, which usually eats birds and small mammals, grabbed the hapless Nile crocodile in its sharp claws before flying away.
Safari guide Mark Sheridan-Johnson, 32, who was raised in Tanzania but whose parents come from Newcastle, captured the sequence of images on his day off from showing tourists one of the wonders of his adopted homeland, the Selous Game Reserve.
"I didn't have any clients to take out that day so I was driving in my land cruiser looking for interesting wildlife to photograph," Mr Sheridan-Johnson said.
"In nine years of being a safari guide I would never expect to see this unheard of behaviour.
"I saw the fish eagle on the sand bank with something in its beak.
"I noticed it wasn't a fish but was in fact a Nile crocodile. The eagle quickly took off but I got a couple of shots of it flying away.
"I think this eagle could be a lone individual who has learnt how to hunt for crocodiles.
"It certainly knew what it was doing."

 

Attachments

  • 400023.thumb.jpg
    400023.thumb.jpg
    14.6 KB · Views: 90
  • 400024.jpg
    400024.jpg
    16.6 KB · Views: 91
igo ndo ndege gani kwa lugha yetu ya taifa? msaada jamani wengine hizi lugha bado ni gongana kwa kichwa
 
igo ndo ndege gani kwa lugha yetu ya taifa? msaada jamani wengine hizi lugha bado ni gongana kwa kichwa

Eagle, aka Tai, huyu ndege ni very smart! sana yani. Hata namna anavyowatrain watoto wake, it is so amazing.
Anawachukua na kwenda nao juu sana kisha anawaachia chini, wahangaike namna ya kupaa - kama wataendelea kuanguka bila mafanikio, mama mtu anadive fasta kuwadaka. Kiufupi, mwacheni Mungu aitwe Mungu!
 
Back
Top Bottom