Hii ni haki...NPS kudai 300/-

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
Habari zenu JF!
Haya mambo yanahitaji wajuzi watusaidie...tunakabwa hadi kooni hatujui tunalalamika wapi?
Jamaa yangu amepita mjini kati na gari yake...akaingia dukani kuulizia bidhaa...dada mrembo akaenda kumwekea receipt ya kudai 300/- mara jamaa yangu akatokea akamwamwambia ...ya nini hiyo? Hapa hakuna packing...pia malipo hayo ni kwa kazi ipi?
Kidogo amzabe kibao....nikamnasihi jamaa yangu alipe tu!
Nawakilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom