Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

Bada ya wiki mbili utanipa jibu mzee! Wewe kwa nini unang'ang'ania kufanya kazi serikalini kwwnye maslahi kidogo? Si uended unakokutaka. Kama hauna kioski uataishia kuwa na njaa tu! Manake hata huko Botswana mnakokusema kumeishaanza kujaa. Hayo yalikuwa mambo ya kizamani? Ulaya na Marekani sahau kabia, manake huna hadhi ya kumtibu Mzungu wewe!
mkuu umeprove ujinga wako anatomy ya mzungu na mwafrika au mtanzania ni tofauti au medicine ya ulaya na Tanzania ni tofauti ficha ujinga wako onyesha welevu wako.
 
mkuu umeprove ujinga wako anatomy ya mzungu na mwafrika au mtanzania ni tofauti au medicine ya ulaya na Tanzania ni tofauti ficha ujinga wako onyesha welevu wako.

Anatomy siyo issue mkuu, swala ni ubaguzi wa mzungu kutibiwa na mtu aliyesoma Africa! Ukizidi kubisha nitakupa data za kutosha mkuu kwa Drs. ambao walienda huko na wameshindwa kutibu! Lete hoja
 
Hebu tufanye miongoni mwetu wana JF awe Rais, amwage sera zake angeongozaje nchi hii, mimi binafsi hata kuongoza Wizara sina uwezo, ila kuongoza Mkoa naweza kujitahidi. Ila nikipewa Urais siwezi kuukataa nitajitahidi hivyo hivyo maana huwezi kataa nafasi kama hiyo ya kipekee hapa duniani. Haya basi na tufanye nimeukwaa urais wa nchi itakuwa kama ifuatavyo,

1. Kila Raia atawajibika kufanya kazi kwa bidii kuliko kupiga umbea wa kukosoa viongozi, na wakibainika watatu wamesimama kujadili mambo yasiyoleta maendeleo katika nchi watakamatwa na kwenda kujenga Taifa gerezani kwa muda usiopungua miezi sita ili liwe fundisho kwa wambea wengine.

2. Kila Raia atakuwa mlinzi wa mwenzake katika kupora rasilimali za Taifa na atakapobainika mmoja amepora atakamatwa na mali zake kurejeshwa kwa wananchi wenye mahitaji maalumu kama vile yatima, wajane na fukara kwa ushahidi,

3. Kila mwananchi atakuwa askari kwa mujibu wa sheria kama ilivyokuwa JKT (National Service) sasa itakuwa JWTZ na wanawake tu ndo watakuwa katika kambi za jeshi, hii itapunguza mateja, mashoga na watu nyoronyoro katika Taifa. Litakuwa Taifa la wenye nidhamu kwa mfumo wa Jeshi. Aidha litakuwa taifa lenye utayari katika kukabiliana na upuuzi wa kihalifu wa aina yeyote nchini wakiwemo wahamiaji haramu na wauza madawa.

4. Mawaziri na Wakuu wa Mikoa nitawateua lakini watapigiwa kura na kila Mkuu wa Mkoa atatoka kaTika Mkoa wake husika na nikimteua atapigiwa kura hadharani kwenye mkutano wa Hadhara ili kubaini uchafu wake.

5. Upinzani utaruhusiwa na kwa awaye yeyote atakayetumia lugha chafu za matusi katika utendaji wake kama waheshimiwa .....na.....watajifuta kazi wao wenyewe bila kujali alichaguliwa ama aliteuliwa.

6. Watummishi watakaokuwa na tabia ya kugomea serikali watawajibika kwa mamlaka husika kwani Na watakaosababisha matatizo mpaka kufikisha hali ya watumishi kugoma watafungwa kifungo kisichopungua miaka saba na kazi ngumu jela.

7. Wabunge wote watajinunulia magari kutoka vyama vyao na ama fedha zao binafsi isipokuwa kwa mawazili tu watapatiwa Suzuki Grande Vitara Mpya

Wewes ukiwa Rais utafanya nini?
 
Hapo UDSM unafundisha school gani vile? Mimi tu kuuliza.

Acha kupotosha kwamba uko UDSM wewe kwasababu huwezi kuja bila data. TA hapo UDSM anapokea bei gani? Ass. Lecturer naye anaanzia bei gani? Je, ni sifa zipi zinamfanya mtu awe Ass. Lecturer? Ni hiyo miaka mitatu au? Wewe kama ni Ass. Lecturer, una muda gani kazini na unapata mshahara (basic) bei gani? Na mbali na mshahara wako wewe kama Ass. Lecturer, TA na Lecturers, je kuna benefits zozote anazopata huyo mwalimu? Ungekuwa Ass. Lecturer ungefahamu ni kwanini waalimu wengi wa Vyuo vikuu vya Serikali wanapiga deiwaka.

Mimi naamini wewe ni Dr., na una ndugu ambaye ni Mwalimu sasa unatafuta mazingira ya kutaka kujustify mahitaji makubwa hasa ya mshahara wa 3.5 Million kwa Drs.; wanaoanza kazi. Sasa nikuulize swali, Je 3.5 Milion ni basic ya level gani kwa chuo kikuu kama siyo Professors. Kwahiyo, unachotaka kujusstify hapa ni kwamba Interns anapaswa alipwe robo tatu ya Full Professor ambaye amekuwa kazini zaidi ya miaka 20?

Mimi madai ya Drs hasa kwenye mshahara wa Drs wanaoanza kazi kuwa 3.5 Milion is too much.

Nimeweka red bold, 3.5 mil ni take home au ni gross income? Kama ni gross basi Kodi + NSSF +tozo nyingine ni sawa na 1,694,000/=. Hivyo mshahara halisi ni 3,500,000/= toa 1,694,000/= sawa 1,806,000/=. Is this too much for a doctor who saves life everyday? If it and given the kind of resouces we have then it high time we govern my the laws of the jungle!

 
nimechoshwa na kauli eti daktari anapendelewa kwa kulipwa sana
........hebu nisaidieni mishahara ya hawa watu kwa level ya degree wanalipwa ngapi
........tanapa
.........tra
..........bot
........bandari
.......hazina
..........msd
..........nhif
..........kilimo
..........mahakama
.........ubalozini/mambo ya nje
..........etc....etc...

jk jasiri siyo ??? Haya bwana mpe hongera zake
 
Back
Top Bottom