Hii ni dhambi kubwa au sio tatizo??????????

Binafsi sioni shida akimsifia mdada na kama kweli analipa nami pia husapoti,the same applies to men nikimuona ambae ni HB na smart namsifu pia.Kinachotakiwa ni kujiamini thus is what i blv
 
Hiyo poa tu mbona. hata mimi wa kwangu kama hajaona huwa namshtua, ila lazima atoe comments; ndo starehe yangu.
mwanzoni alikuwa anaibia kuangalia, alidhani ananikwaza kwa kuangalia wazi wazi, siku moja aliibia halafu alipnigeukia alinikuta namwangalia huku nacheka nikamwambia Uwe na amani tu, hakuna ubaya ku-appreciate uumbaji
 
Hapo wala hujakosea BJ kuangalia uumbaji sio kosa kabisa lakini kwa wenzetu nyinyi akina mama sijui ni wivu au kutojiamini.Mimi siku moja nilimpeleka wife kwenye soko la samaki,kufika yeye akaingia ndani mi nikabaki nje namsubiri basi akapita mrembo wa haja aliyeumbwa akaumbika,nami mtoto wa kiume bila hiyana nikawa namsindikiza kwa macho nilikuja kushtuka mtu ananibip na kofi mgongoni ,kugeuka namkuta wife kachachamaa unaangalia nini kwani mimi sikutoshi?Lakini ningekuwa mimi wala tusingefika huko.Kwa hiyo basi mi naona kutazama ni kama kuufurahia utukufu wa mungu katika uumbaji.

Tatizo ni pale mwanaume akiona kila mwanamke anapita shingo lilee hata kama unamwongelesha haelewi kitu..yani mtu hata mkirudi kwenye maongezi akili yake haipo kabisa, inawezekana nyie mnawaza zaidi ya uumbaji kama utampataje?mawasiliano yake nk..
Mie simkatalii aangalie wanawake wengine mana pia urembo kuna kuzidiana, kwahiyo fahari ya macho ashindwe yeye tu!!
 
Hiyo poa tu mbona. hata mimi wa kwangu kama hajaona huwa namshtua, ila lazima atoe comments; ndo starehe yangu.
mwanzoni alikuwa anaibia kuangalia, alidhani ananikwaza kwa kuangalia wazi wazi, siku moja aliibia halafu alipnigeukia alinikuta namwangalia huku nacheka nikamwambia Uwe na amani tu, hakuna ubaya ku-appreciate uumbaji

Ni kweli ndugu yangu. Mtu akiwa huru anafikia compromise na nafsi yake kwamba hayo yote ni mabucha tu.....!
 
Tatizo ni pale mwanaume akiona kila mwanamke anapita shingo lilee hata kama unamwongelesha haelewi kitu..yani mtu hata mkirudi kwenye maongezi akili yake haipo kabisa,ya uumbaji kama utampataje?mawasiliano yake nk.. inawezekana nyie mnawaza zaidi
Mie simkatalii aangalie wanawake wengine mana pia urembo kuna kuzidiana, kwahiyo fahari ya macho ashindwe yeye tu!!

Mh mimi wala siko hivyo huwa naangalia na kuacha, kisha naendelea na shughuli zangu wala usiniogope BJ
 
Kuangalia isnt a big deal coz eyez are alwayz naked when u aren't asleep, the PROBLEM IS kufanya follow up ya kile ulichokiona,hapo ndipo pabaya.
 
hahahahahah mmenichekesha
ahh minamshtuaga........eehhh kaka ebu cheki kitu kule............tunachekaaaaaa mpk basi
its fun km mnaaminiana bt km unanjua jamaaa ni mkuki mkononi kwa kila nguruwe anayepita mbele basi .......akigeuka tu we mpe na kibao kabisa ttttaaaaaaaaaaaaaaaaa nakwambia hatarudia tena
bt as for me ahh naona si issue ilii mradi tu hataenda kumshika wala kuronga nae bt kuangalia tu ahhh angalia baba utakavyo ata kwenye mataaa NA hata kama MATAAA yameruhusu wala astakushtua mpk umalize then tutaendelea na safari.......!!!!!!!!!!!
 
mi sijali akikodolea au hata kusifia wanawake wenzangu, it doesnt matter he is stuck with me for the rest of his life, so si vibaya aki enjoy kwa macho
 
Tatizo ni pale mwanaume akiona kila mwanamke anapita shingo lilee hata kama unamwongelesha haelewi kitu..yani mtu hata mkirudi kwenye maongezi akili yake haipo kabisa, inawezekana nyie mnawaza zaidi ya uumbaji kama utampataje?mawasiliano yake nk..
Mie simkatalii aangalie wanawake wengine mana pia urembo kuna kuzidiana, kwahiyo fahari ya macho ashindwe yeye tu!!
he he he! hapo atanishangaza!!!!
 
swali ni hili kwa nini wanawake wengi wanakereka wakiona mwanaume wake
anatazama vifaa vingine,wakati macho hayana pazia,na kutazama sio kula???????????

Hili lipo pande zote..........huwa nikipishana na njemba huku imefungasha trela na nikaitupia jicho kitu yake alichonacho kiudadisi hivi...........njemba huwa inanitolea macho kama balbu vile.............kiugomvi ugomvi vile........kama vile kuna shari.........huwa ninajiuliza mbona jamaa hajiamini...............lakini hilo ni kawaida kwa sababu mwanadamu anajua asipochunga mwanzo wa chochote kile kilio kitamwandama...baadaye vile..................
 
Back
Top Bottom