Hii ni coincedence...?

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata nae mapacha mara 2. Watoto wote 6 wanafanana na baba yao kupita kiasi.

Kijana nae akaoa, nae amebahatika kupata mapacha mara 2 ambao nao wanafanana na huyo kaka wa baba yao kiasi cha kuwafanya waonekane kama sehemu ya familia ya huyo kaka...

Hii ni coincidence au kuna maelezo ya kitaalam - genetics...?

Kuna Uwezekano Mkubwa Mila Zimedumishwa hapo
 
Mhhh...pana shida nyumba hiyo...Huyo bwana-kaka huwa anantuma mdogo wake akalinde nyani shambani, huku anahamia chumbani kwake!..
 
Mpendwa mbona sijakuelewa hapo?
Nifafanulie please.
Upo lakini?

Mbona nimeongea kwa Uwazi sana jamani, Yaani Watoto wangu wafanane copyright na Binamu any way watu wa Baiojoia ndio wanaweza kutuelezea ukaribu wa Kijenetikia uliopo kati ya Mabinamu. Hapo ni Mila by 80%
 
Kwa kweli ni utata...wenye uelewa wa genetics wangetusaidi hapa lol!

Annina
 
..........mtoa hoja, je hao mtu na binamu/kaka yake wanafanana kwa sura? kama wanafanana kwa sura-jibu ni simple=genetics. kama hawafanani kisura...vipi ndugu wengine wa karibu yao,je kuna mfanano wa sura? mfano watu wa ukoo wangu huwa tunafanana sana kisura tuwe kwa upande wa wanawake au wanaume,tunafanana sana so still ka case yao genetics bado inaweza ku-play party. Hii ni matter ya heretability ya vinasaba ndani ya huo ukoo.
otherwise mengine watajuana wenyewe! by the way,baba wa mtoto ana-doubt?
 
Watu mnapenda ku-intergrate na ku-differenciate mambo.Hiyo ni koincidence tu imetokea si ndugu hao watu.
 
..........mtoa hoja, je hao mtu na binamu/kaka yake wanafanana kwa sura? kama wanafanana kwa sura-jibu ni simple=genetics. kama hawafanani kisura...vipi ndugu wengine wa karibu yao,je kuna mfanano wa sura? mfano watu wa ukoo wangu huwa tunafanana sana kisura tuwe kwa upande wa wanawake au wanaume,tunafanana sana so still ka case yao genetics bado inaweza ku-play party. Hii ni matter ya heretability ya vinasaba ndani ya huo ukoo.
otherwise mengine watajuana wenyewe! by the way,baba wa mtoto ana-doubt?

Mkuu hawa mabinamu hawafanani maana wangefanana ingekuwa vigumu kusema wanafanana na binamu wa baba yao! Nakubaliana na wewe kuna uwezekano wa wanaukoo kufanana, ndugu wengine wa huyu kijana siwafahamu kwa hiyo sijui kama wanafanana ama la.

Annina
 
Eti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huyo binamu wamefanana? Lakini ni kitu ambacho mleta mada hajatuambia, What a conincidence, kwa hesabu za haraka haraka binamu kamsaidia, yaani kama ni world cup, basi jamaa kachezewa rough. Maana mapacha, mapacha, huyo binamu mkubwa inaelekea ndo ana mbegu za mapacha, kwa hiyo amemsaidia na mdogo wake. Lakini kwa sababu jamaa hajashtukia basi wacha maisha yaendelee na amepata watoto wazuri kwa mpigo bure.

Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata nae mapacha mara 2. Watoto wote 6 wanafanana na baba yao kupita kiasi.

Kijana nae akaoa, nae amebahatika kupata mapacha mara 2 ambao nao wanafanana na huyo kaka wa baba yao kiasi cha kuwafanya waonekane kama sehemu ya familia ya huyo kaka...

Hii ni coincidence au kuna maelezo ya kitaalam - genetics...?

Annina
 
Kama ni wazungu pengine wamesaidiana ..
Mdogo mtu pengine hana mbegu zenye nguvu ya kuzalisha watoto....
Kwa hiyo huyo kaka amemsaidia.....inawezekana ni sperm donor....
 
The fact that they are identical twins autowatically reduces divides the chances by two. ukihesabu kila set kuwa mdungo mmoja....
 
Mhhh...pana shida nyumba hiyo...Huyo bwana-kaka huwa anantuma mdogo wake akalinde nyani shambani, huku anahamia chumbani kwake!..

Paka\jimyyyyyyyyyyyyyyyyy...mmmm umenichekesha sana aisee...ahahahha kuna mtu kaibiwa hapo!!
 
Uwezo wa kuzaa mapacha uko kwa mwanamke tuu na sio mwanaume, hivyo huyo kaka kupata wake wazaa pacha na mke wa nduguye kuzaa pacha, nijust a coincidence kwa upande wa mwanamume na wanawake hao, ila kwa wanawake kuzaa pachana kujirudia,ni genetics kwenye mambo ya mutations.

Hili la mke wa mtu kuzaa watotowanaofafana na nduguau jirani,pia its normal. Uthibitishoukokwenye biblia, ukiwa mja mzito, yule mtuunayemchukia sana basi utazaa mtoto anayefanana nae. Mbona jamanihata mimina wife wote weusi tii, wife amekaa ulaya, amejifungua mtoto mweupe copyright na mimi baba yake?. Wife akasema wakati wa ujauzito, aliwachukia sana wazungu!, its normal!.
 
hii kali ya mwaka.... lakini kupata mapacha huwa inategemea mama zaidi ya baba!!! kwahiyo hata kama jamaa kachapa then mbegu zake huwa hazileti twins ni za female partner

its more of a coincidence
 
Back
Top Bottom