Hii ni Bongo Jamani, nasie tujisifu

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
264006_465421123498298_1122873984_n.jpg
 
'Under the coconut tree' does ring a bell when you look at this interesting and fascinating tree.. Though, you should be careful while sitting under one..

418888_10151154394954605_1001573487_n.jpg
 
Tuko vizuri ila jamaa wakiona hizi picha mate yanawatoka wanatamani kuja kutuibia twiga na wanyama wetu wapeleke kwao.
 
Tuko vizuri ila jamaa wakiona hizi picha mate yanawatoka wanatamani kuja kutuibia twiga na wanyama wetu wapeleke kwao majuu.
Si umeona eeh? Sasa jamaa badala ya kuzificha hizo picha ndo kwanza anaanza kuzianika kwenye kadamnasi alafu tukiibiwa atakuwa wa kwanza kuanza kulalamikaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom