Hii ni bonge ya soo kwa wazazi waliokuzaa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,730
155,414
Jamaa karudi home usiku wa manane.Moja kwa
moja akazama chumbani,akafunua blanketi,akaiona
miguu minne badala ya miwili aliyozoea.Jamaa
akafunika blanketi taaratibu,akachukua bonge la
rungu,akaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu
akaelekea sebuleni kutuliza hasira.Kutahamaki
akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni.Mkewe
akamwambia:Wazazi wako wamekuja leo
kututembelea,nimewaachia chumba chetu
walale,sisi tutafanya maarifa mengine."
 
itabidi anieleze vizuri. halafu huyo bwana wakati anaingia alipitia dirishani nini?. bila shaka hiki ni kichekeshi. nmecheka sana hahhaaaahahahaaa...!!. ingewekwa kwenye jokes. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom