Hii ni biashara ya ukweli au?

Wewe ni tapeli mkubwa. Hutampata mtu hapa!
Befor anything be sure from your words you have no
right to insult someone you dont know yah kweli sijui kiswahili cause am not tanzanian anyway it seems nilikosea
nilivo ingia hapa siyo muhimu kwangu uniamini
but atlist watu wamejua hilo ni kweli
have a nice day
 
The five main theories (about red mercury) are: (article from BBC website)

That red mercury is a reference to cinnabar, a naturally-occurring mercuric sulphide. The red pigment derived from cinnabar is known as vermillion.

That it is a reference to the alpha crystalline form of mercury iodide, which changes to a yellow colour at very high temperatures.

That it is simply referring to any mercury compound originating from the former Soviet Union. The 'red' tag would simply be a legacy of the Cold War era.

That it is a ballotechnic mercury compound which just happens to be red in colour. Ballotechnics are substances which react very energetically when subjected to shock compression at high pressure. They include mercury antimony oxide which, according to some reports, is a cherry red semi-liquid produced in Russian nuclear reactors. This theory contends that it is so explosive that a fusion reaction - a nuclear explosion - can be triggered even without fissionable material such as uranium.

That it is a military codeword for a new nuclear material, probably manufactured in Russia.

For more info: BBC NEWS | UK | What is red mercury?
 
Thats true
And thats why we are buying them
The asking price for red mercury ranged from $100,000 to $300,000 per kilogram. Sometimes the material would be irradiated or shipped in containers with radioactive symbols, perhaps to convince potential buyers of its strategic value. But samples seized by police contained only mercury(II) oxide, mercury(II) iodide, or mercury mixed with red dye — hardly materials of interest to weapons-makers.

Following the arrest of several men in Britain in September 2004, on suspicion that they were trying to buy a kilogram of red mercury for £300,000, the International Atomic Energy Agency made a statement dismissing claims that the substance is real. "Red mercury doesn't exist," said the spokesman. "The whole thing is a bunch of malarkey."[8] When the case came to trial at the Old Bailey in April 2006, it became apparent that News of the World's "fake sheikh" Mazher Mahmood had worked with the police to catch the three men, Dominic Martins, Roque Fernandes and Abdurahman Kanyare. They were tried for "trying to set up funding or property for terrorism" and "having an article (a highly dangerous mercury based substance) for terrorism". According to the prosecutor, red mercury was believed to be a material which could cause a large explosion, possibly even a nuclear reaction, but whether or not red mercury actually existed was irrelevant to the prosecution.[9] All three men were acquitted in July 2006.[10]
 
Please sara
nikupataje!!!! nimekutumia numba yangu in you
email
please nirudushie jibu as soon as possible
 
Hakunaga biashara ya hizi vitu ni miyeyusho na wizi tu amini nakuambia yaani hii kitu ina bei kuliko dhahabu na almas

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuna sehemu inaitwa kiwira ipo Tukuyu,huko kuna sehemu inaitwa daraja la mungu kuna zebaki ya kutosha tu sema swala linakuja jinsi ya kuivuna hiyo zebaki kwani sehemu iliyopo ni hatari kweli,wzungu kibao washapoteza maisha kwa lengo la kutaka kuvuna zebaki hiyo,so kama una uwezo na ujasiri unaweza kwenda huko ingawa iko ndani ya jeshi la magereza so lazima uwe na vibali.
 
Thanks for the information
 
Habari -zenu..
Nataka niwe open wise with you gaiz kitu ya kwanza kuhusu-
"RED MECURY" ni kweli biashara hilo,-
na si rahisi kupatikana na kuna wengi watapeli na wachawi huwa wanakuambia kabla kufanya test lipa hela kadha alafu baada ya muda mfupi yaani baada kufanya uganga anakwita wakati tayari kashakuloga yani ww ukifanya test unaiyona orignal wakati ni feck-
2) kama unayo kweli zebaki mimi ndo mnunuzi each gram 50,000 doller
test itakayo fanyikwa ni
1) kutumia kiyo
2)kutumia ndimu
3) kutumia tishu
4) kutumia computer ili tutoe pasent yake 99%999 HG
na vifa vyote ni yakwetu itakayo tumika kufayiwa test
-yeyote anaye jua mtu anayeuza au yeye mwenyewe anaye-
contact me kwenye email hii kama kuna swali yeyote ambacho huwezi kuulizia hapa pablic just be free and contact
swty-shosho@hotmail.com

3)Sasa kuhusu middel isizidi mtu mmoja hii ni sharti yangu.,,
- Thank's,,
Mrs Sara....

dada, vipi birika na pasi za zamani ulishapata?....kwiiiikwiii:heh:
 
Hizo biashara zote ni upuuzi. Watu hawataki kutafanya kazi ili wafanikiwe kwa jasho lao. Ndio maana wengi wamekimbilia ufisadi na ushirikina. Hawataki kusumbua akili zao.

Wakati niko Sekondari tuliambiwa rupia ya Mjerumani ni dili. Nilipoenda likizo kidogo tuue vikongwe kwa kuitafuta. Tulizunguka maeneo tofauti mengine mbali sana, mwendo wa zaidi ya masaa 10 kwa miguu. Tuliambulia patupu. Mwishowe ikaja dili ya coins fulani za Tz zilitoka kwenye miaka ya 1986/87. Nilinunua kibao nikampa mshikaji wangu akauze Tarime (mpakani na Kenya) wakati wa midterm. Aliporudi akanambia hakupata soko ila coins hakurudisha! Kwa hiyo haya mambo ni utapeli tu!

Hii si biashara wazee tamaa zenu tu japo zina ofa yake ukitanguliza tamaa umebugi au dhuruma kama hizo hiyo coins hata ukiiba inarudi kwa mlinzi wake kikubwa omba upewe semina ujue
 
hilo kweli lakini kila mtu atakua na mpango yake
na mm kwaida nafanya deal zangu in public places
e.g five stars hotel ,, na mm si mara ya kwanza kufanya deal
hii ,, lazima kabla ya kila kitu amani ipatikane in both sides
and that what we alwYs deal with
Habari?Upo registered na VAT kwenye hii busness?
 
Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU).
Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii ipooooo?
Na nimeambiwa kuwa ukifanikiwa kuipata bei yake huwa ni kubwa je kuna ukweli?Naomba kuwasilisha
Ndiyo Hii Bishara inaukweli asilimia 100 ila shida ni kuwa matapeli wamekuwa ni wengi na hata wewe unae tafuta hakikisha unajua unachokitafuta uepuka kutapeliwa na wachumia Juani,na ukumbuke pia kuwa ni salama zaidi kama utafanya na Mahali ambapo lazima ulipe kodi na pesa yako kuwa hurunayo kukwepa kesi za uhujumu uchumi mkuu.
 
na epuka Biashara ya vichochoroni n ndani ya Mahoteli maana ni rahisi sana kupewa pesa feki.
 
Habari -zenu..
Nataka niwe open wise with you gaiz kitu ya kwanza kuhusu-
"RED MECURY" ni kweli biashara hilo,-
na si rahisi kupatikana na kuna wengi watapeli na wachawi huwa wanakuambia kabla kufanya test lipa hela kadha alafu baada ya muda mfupi yaani baada kufanya uganga anakwita wakati tayari kashakuloga yani ww ukifanya test unaiyona orignal wakati ni feck-
2) kama unayo kweli zebaki mimi ndo mnunuzi each gram 50,000 doller
test itakayo fanyikwa ni
1) kutumia kiyo
2)kutumia ndimu
3) kutumia tishu
4) kutumia computer ili tutoe pasent yake 99%999 HG
na vifa vyote ni yakwetu itakayo tumika kufayiwa test
-yeyote anaye jua mtu anayeuza au yeye mwenyewe anaye-
contact me kwenye email hii kama kuna swali yeyote ambacho huwezi kuulizia hapa pablic just be free and contact
swty-shosho@hotmail.com

3)Sasa kuhusu middel isizidi mtu mmoja hii ni sharti yangu.,,
- Thank's,,
Mrs Sara....
Bado unanunua
 
Back
Top Bottom