Hii ni ajabu sasa

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Eti nimeagiza msosi na pepsi bariiiidi, cha kushangaza si nimekuta zawadi ya TUSKER kwenye kizibo cha pepsi. Sasa hapa ndio nashangaa huu muingiliano. Karibu kula
 
hiyo itakuwa zile zinazotengenezwa na wajasiliamali(yaani kitaa) si unajua tena maisha ubunifu!!!!
 
kampuni inayotengeneza vizibo vya soda nia bia ni moja hivyo kosa la kiufundi linaweza kutokea.but still unaweza kwenda kuclaim zawadi yako tusker
 
lol itakuwa umegonga kitu cha hatari sana
wahi muhimbili kabla madoc hawajagoma
asee maana pepsi na tusker ni mbali sn hawana hata ubia kwakweli haaaa
Eti nimeagiza msosi na pepsi bariiiidi, cha kushangaza si nimekuta zawadi ya TUSKER kwenye kizibo cha pepsi. Sasa hapa ndio nashangaa huu muingiliano. Karibu kula
 
Kunywa tu, haina shida.
Kwenye hoteli moja nilikuta menu imeandikwa kuna ugali u auzwa na mboga yake ni big g, nikaakiza nikala na sikudhurika
Eti nimeagiza msosi na pepsi bariiiidi, cha kushangaza si nimekuta zawadi ya TUSKER kwenye kizibo cha pepsi. Sasa hapa ndio nashangaa huu muingiliano. Karibu kula
 
Boss we hulali? Au na wewe ni mbeba maboxi?

Hii mbeba mabox kabla sijaijua maana yake ilinipa shida sana kuumiza kichwa kujua inamaanisha nini ! Hata hivyo inawapa shida wageni waingiao humu, kila uchao !
Mi wkt najoin Jf ilikua na members elfu 50 sasa washavuka elfu 61.
Hao jamaa kw nini wasifunge na jina halisi ya kazi zao.
 
Mbona ndio kazi zao? Kwani kuna ubaya gani kubeba maboxi kama inalipa na ni legal?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom