Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
Muungano wa kupigiwa makofi "
"
kazi na dawa,ndege wawili kwa jiwe moja!Mmh tembo kuendelea kufa? Ndoto nyingi huja kinyume tafsiri yake..! Labda iwe ndoto maono ama ndoto taarifa
Mimi tangu nilipokutana na ndugu zetu wazanzibar wakiwa nje wanajitambulisha kama wazanzibar, nilikoma kabisa kujiita mtanzania! Mimi ni mtanganyika unafiki siuwezi, na hata kwenye katoi kangu napeperusha bendera ya Tanganyika.Mikosi inaletwa na unafiki wa kujifanya tuna nchi mbili zilizoungana wakati kiuhalisia muungano huo ulishakufa siku nyingi...hivi ikitokea leo ccm wakaanguka kwenye uchaguzi upande mmoja wa huo muungano, tutasema kuna muungano tena hapo?
Wao wamebaki na utambulisho wao na sasa nchi yao sisi mmhMimi tangu nilipokutana na ndugu zetu wazanzibar wakiwa nje wanajitambulisha kama wazanzibar, nilikoma kabisa kujiita mtanzania! Mimi ni mtanganyika unafiki siuwezi, na hata kwenye katoi kangu napeperusha bendera ya Tanganyika.
Tafakuri nzuri sana hii sidhani kama ndani ya ccm wanaweza kuwaza kama hivi na hata kama atakuwepo mmoja kwa hakika hatakuwa na uthubutu hata wa kunong'onaJana wakati nafuatilia kilichokuwa kinaendelea Dodoma nilijikuta natafakari mambo kadhaa miongoni mwao ni Iinalofanana na hili.
Ilielezwa kuwa magu alibembelezwa uwa mwenyekiti Wa chama baada ya kukataa ombi hill kutoka kwa mkiti aliyekaa pembeni.
Sasa katika mkutano huo akawepo pembeni kidogo ya mwenyekiti aliyetoka, makamu mwenyekiti Wa ccm Zanzibar Dr she in.
Nikawa najiuliza hivi huu muungano VP kwanini mwenyekiti Wa chama kinachoutetea awe rais jamhuri hata kama kuna makada wenye sifa na uzoefu kuliko rais?
Kama she in ametumikia wadhifa Wa makamu Wa rais Wa muungano kwa miaka mitano na bila shaka wakat huo akiwa mjumbe Wa kamati kuu huku magu akiwa waziri Wa kawaida kabisa iweje hivi.
Kama she in amekuwa rais Wa Zanzibar kwa miaka 5 huku akiwa makamu mwenyekiti na tena " kachaguliwa" kwa Mara nyingine, hivi kati yake yeye na magu Nani anasifa zaidi ya mwingine kushika wadhifa huo?
Hapa hatujataja sifa za uvumilivu, busara, elimu na kadhalika. Huu muungano ukoje?
Nimeweka nilichokiona halafu naomba upunguze maneno ya kukera kwenye replies zakoHiyo link yako haifunguki !
By the way, nini credibility ya hiyo source yako? Hujuwi kuwa there is, on internet, a lot of 'conflicting' maps kuhusu mipaka ya Tanganyika?
I am NOT concerned with the so called 'Muungano'..., my primary concern is: WHY una-publicize ramani yenye 'mipaka' ya kupotosha umma?
Can you prove beyond doubt kwamba hiyo ndiyo the genuine/authentic map of Tanganyika? Ama 'unahisi' tu kuwa hiyo ramani ndiyo yenyewe genuine?
Usilete ramli zako kwenye mambo ya kitaifa mkuu.
Acha kukurupuka. Acha kupotosha. Kuwa mzalendo.
-Kaveli-
Nimeweka nilichokiona halafu naomba upunguze maneno ya kukera kwenye replies zako
Ni hivi nimeweka hiyo ramani hapo kwa muktadha wa mada yangu na ishu nzima ya muungano kama bado hujaelewa rejea nilichoandikaUmeweka 'ulichokiona'! well, umeiona wapi hiyo ramani? I mean from what credible source?
Don't tell us to use 'search engine' (Google), ni vyema utupe direct source/link ulipoitoa hiyo ramani.
N.B: DON'T TRUST 'EVERYTHING' YOU GRAB ON INTERNET !
-Kaveli-
Nimeweka misingi ya vigezo vinavyohitajika ili nchi itambulike, lakini casualties hazikosekani popote na kwenye chochote kama ulivyoainisha hapaUzi mzuri ila napenda kukosoa pale uliposema ili nchi itambulike inahitajia:
1- Mipaka kamili: Hii siyo sharti. Wee unaijua mipaka ya nchi ya Israel? Ni kuanzia wapi hadi wapi?
2- Katiba: Umeiona wapi Katiba ya Uingereza?
3- Sarafu: Sijui kama Vatican ina sarafu yake. Pia Zimbabwe? Hii inatumia tenga 'basket' la sarafu kadhaa
4- Majeshi: Switzerland haina jeshi
5- Bunge: Saudi Arabia haina
6-Rais: Tanzania 2010-2015!
mkuuu,hilo swali hata mimi hua lina nitatiza,au mashekhee kamela iliwarukaaaaaaaa?Mimi huwa nashangaa kwanini picha huwa inamuonesha Kambarage pekee akichanganya udongo.. Mwenzake yule sheikh alikuwa wapi..? Ni kama muoaji mmoja kumvika mwenzie pete na kujivika yeye mwenyewe..looks like upande wa masheikh haukuwa tayari.
mkuu mshana nakubaliana na wewe,ila hoja ni kua masheik hawaonekani kwenye kuchanganya mchanga,ndo tukawa tunajiuliza labda kamela iliwaruka kwa bahati mbayaaaMuungano ulichochewa na vita baridi