mhandokajiru
Member
- Oct 14, 2012
- 9
- 0
Huwezi kufananisha Kondoo na Mbuzi hata kama wote ni wanyama wanaocheua; Umejiuliza maswali ya msingi kwamba vyuo hutofautiana kwa courses. Kwa mfano SUA ni cha kilimo utalinganishaje na UDSM, MUHAS ni cha afya unalinganishaje na IFM? Acha kulinganisha aliyevaa kaputura na mwingine suti yupi amependeza bila kuangalia mazingira gani? Hujui ukivaa suti shambani kila mtu atakushangaa hata kama utakuwa mahili kwa kulima.
aaaaah hapo mzee amechemka. i dont think kama amefanya research ya kutosha. angetuambia ametumia vigezo gani. no right to speek if you have not made a research