Yaani wewe hata ku comment thread yako hatukutakiwa ila ni uungwana tu wa kukushauri, ebu jifunze kufikiria, huna sourses wala surpoting material ya kukomaza point yako ya kijinga na uchunguzi hujafanya na hata ungefanya uchunguzi hii sio title ya project au research yako ikiwa ungekuwa msomi, kwanza huwezi ukawa ni mtu uliyesoma au unayetegemea kusoma umekurupuka tu baada ya kuona walevi wanaropoka na wewe ukaanza, rudi darasani nakushauri uanze form 2. nilidhani labda pamoja na umepost upuuzi ungekuwa na some fact za uongo ili tuone kama unaweza hata danganya mtoto kumbe ndo huu ujinga??