Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Nikipata mda nitakuja na list yangu lakini kuna hawa x-plastaz kutoka A-twn naona wabongo wengi hawawajui wanafanya nini kwenye hili gemu la hiphop kutokana na kwamba wame "base" sana nje ya bongo kimziki.. kiukweli hiphop ina nguzo zake na ni ngumu sana kwa hawa wasanii wetu kuzifata ili watengeneze pesa that said wana hiphop wengi wakibongo bado saaana.. i'll be back!!
 
Juma ndio yuleyule, umaarufu haujanibadilisha/
kichwani upara hakuna nywele,style ya kiduku itakwisha/
naanza na nyumba sina presha na corola/
makondakta kwangu washkaji so nasafiri kisela/

JUMA MOHAMMED MCHOPANGA
ndo mwanahiphop bora Tanzania kwa miaka mia ijayo..
kwa ile track yake ya JIPANGE ya 2007 kweli kina stamina na wengineo wajipange sana kufika alipo Mo Technique,MAWAZO,Mo Fravour

Huyu jamaa ni soo,ila nasikitika kwamba ni the most underrated mc kwa bongo.Wanaoijua Hiphop tu ndo wanajua ubora wa jamaa,wengi wamemkariri tu Fid Q eti kisa vile vimesemo vyake,hawajui kwamba hiphop ni zaidi ya misemo
 
1.Fid Q 2.Solo thang 3.Jay mo 4.Prof J 5.Afande sele 6.Ngwair 6.Stamina 7.Mwana FA 8.Joe makin 9.Langa 10.Young Killer
 
Ok twende Hivi

1.Father Nelly
2.Hashim Dogo
3.Salu T
4.J-moo
5.Prof J
6.Jcb
7.Fid Q
8.Saigon
9.Zavara
10.Lufunyo
 
... ...ktk karata tatu jua moja malavidavi haya sasa kazi kwenu nyie mnaosubili mavi.......mwanaume kujiamini usiogope meza madini bora tu kunya utajiri utakunya manvi mpaka lini...... Wakubwa solo thang mkali hayo baadhi ya mambo yake.
 
Hapo kwa mwanafatuma. Hivi ile yake ni hip hop nayo??? Naionaga zaidi kwenye upande huu wa Khadija Koppa. Mi nauliza tu?
 
This is my List,
  1. Jos Mtambo
  2. Prof Jay
  3. Solo thang
  4. Sos B
  5. Sugu
  6. Joh Makini
  7. Jay Mo
  8. Madee
  9. Bonta
  10. Roma
 
1. jay mo
2. AFANDE SELE
3. SOLOTHANG
4. FATHER NELLY/X PLASTAZA/NICK MBISHI
5. SUGU
6. BALOZI
7. KALAPINA
8. OCG
9. MAPACHA
10. JOS MTAMBO

ni mtizamo wangu kutoka katika library yangu ya nyumbani ni wasanii ambazo siwezi vuta siku bila kusikiliza nyimbo zao hata kama ni mmoja ..........
 
huyu jamaa ni soo,ila nasikitika kwamba ni the most underrated mc kwa bongo.wanaoijua hiphop tu ndo wanajua ubora wa jamaa,wengi wamemkariri tu fid q eti kisa vile vimesemo vyake,hawajui kwamba hiphop ni zaidi ya misemo

absolutely
 
1. Sugu
2. Prof Jizze
3. Joh Makini
4. Chindo
5. Jay Moe
6. Fid Q
7. JCB
8. Nikki wa 2
9. Nash Emcee
10. Bonta
 
1. jay mo
2. AFANDE SELE
3. SOLOTHANG
4. FATHER NELLY/X PLASTAZA/NICK MBISHI
5. SUGU
6. BALOZI
7. KALAPINA
8. OCG
9. MAPACHA
10. JOS MTAMBO

ni mtizamo wangu kutoka katika library yangu ya nyumbani ni wasanii ambazo siwezi vuta siku bila kusikiliza nyimbo zao hata kama ni mmoja ..........


asante...
Namba 1 na 3 zinahusika mno...
 
1.Chindo man 2.Fazza Nelly *r.i.p* 3.Hashim dogo 4.Salu T 5.Mc Donii 6.Bonta 7.Chabba 8.Kalapina 9.Mapacha 10.Jcb
 
Juma ndio yuleyule, umaarufu haujanibadilisha/
kichwani upara hakuna nywele,style ya kiduku itakwisha/
naanza na nyumba sina presha na corola/
makondakta kwangu washkaji so nasafiri kisela/

JUMA MOHAMMED MCHOPANGA
ndo mwanahiphop bora Tanzania kwa miaka mia ijayo..
kwa ile track yake ya JIPANGE ya 2007 kweli kina stamina na wengineo wajipange sana kufika alipo Mo Technique,MAWAZO,Mo Fravour

Amani kwa kaka voda milionea waambie washkaji zako waache poda wale mmea-JIPANGE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom