Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

Frank Pasua kichwa
Ommy mfanya biashara
Chomba kauza simu jana chini ya Mnara

Wale wanaonibip najua hawana dola,
Hawawezi kupiga muda mrefu kama Babra,
Anayeweza lea simu anaeweza familia,
Dola kumi kwa wiki wee mwenyewe fikiria,
Simu uwe na dili simu sio ubishororo,
Simu ina wiki mbili haijaita huu mgogoro,
Ubitozi haufai ya nini unabeba toi,
Ili masista duu wasijue we mlalahoi,
Wale kina Chomba naomba tuwe makini,
Mwenzio nishaziacha simu nyingi tu mezani,
Na ukipata demu pia akili kichwani,
We unapiga bao mwenzio mkono mfukoni.

Yaa kama unaongea na simu, bora upaki iyo gari,
Na kama we unabisha jua ni mbele ajali,
Ongea kwa dirishani vibaka uwape zari,
Piga yangu mkononi lete dili acha stori,
Watu bize na meseji yaani kila kukicha
Yaani mjini usiseme wanavyogongana vichwa,
Ukiuliza aina gani ni siemens ama nokia,
Yaani mambo ya gemu na picha yamenivutia,
Simu yangu ofisi, simu yangu ibilisi,

...

Natamani jamaa aje na version mpya ya Simu yangu, hasa wakati huu wa ma-smartphone.
 
ukizungumzia mziki wa bongo katika rap basi unazungumzia mtu aliyeleta mapinduzi ya mziki huu na mpaka leo mziki huu wa kurap umekubalika!.....prof Jizze ana rank yake peke yake kabisa katika mziki huu!......sijataka kuzungumzia hip hop kwani nikizungumzia mziki wa hip hop basi wengi hawastahili kuwepo!.......wakali wangu naowakubali 1.prof j 2.solo thang 3. jay moe!hizo ndo top guns....hawa watu watatu naamini wanaweza kufanya concert kila mmoja peke yake bila support ya msanii yeyote na mashabiki wakaridhika kwani wana mapini ya kutosha ambayo yanakubalika sana na ambayo wadau wanaweza kuimba nao sambamba!.................
 
We jamaa nilikuwa nakuchukulia poa kumbe unajua mziki,achana na waswahili wanaojifanya wanajua sana misingi ya Hiphop.Tukisema tuweke watu wanaofata misingi hapo listi itabaki na vichekesho
 
1.Fid Q
2.Prof J
3.Afande sele
4.One incredible
5Nikki mbishi
6.Mwana FA
7.Sugu
8.Mangwea R.I.P
9.Jay mo
10.Nikki wa pili....

Joh makini nimemnyima kutokana na kudrop sana ndani ya miaka mi3 hii...jamaa hatoi tena ngoma NAGWA zileee, Chid benz sijawahi kumkubali na Stamina hajui hata young killah hamuingii

kwani afande sele ametoa ngoma gani nagwa ivi karibuni
 
Hiphop bongo sio issue ..madee mjanja akatoka nduki mtazame sasa alivyo...hao wote kumi wachanganye pesa zao Hawamfikii Diamond..nuna upasuke
 
Hi hop hailipi bora nikauze pipi..made aliwachana kitambo...hao wote kumi wachanganye hawana income ya diamond kwa mwaka
 
Top ten yangu
1.Chindoman
2.Jay Moe
3.JCB
4.Fid Q
5.Solo Thang
6.Lord Eyes
7.JohMakini
8.Geez Mabovu
9.Stereo
10.Nikki wa 2
 
1.mwanafa
2.fid q
3.jay moe
4.chindo
5.nick wa pili
6.nick mbishi
7.sugu
8.prof.jay
9.bonta
10.solo thang.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom