hii ndo tanzania,,

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
jamani kila nchi ina maajabu yake,, ila haya yamezidi,,, matrafiki wanatutisha
 

Attachments

  • trafic.jpg
    trafic.jpg
    12.9 KB · Views: 465
angeendesha kwa haraka akalibwaga akalikanyaga jinga hili!
 
mhh au walimnyima rushwa au mlango ulikuwa haupitiki sababu watu walikuwa nyomi tehtehtehhhhh.....nchi yangu jamani hii yenye amani tele....nchi ya maziwa na asali....
 
A7K47tTvF2VpAAAAAElFTkSuQmCC


Tanzania ya wapi hiyo yenye bendera ya China......?
 
hicho kisa kilitokea huko Myanmar (Bummer) Sasa wewe unapotosha kwa kufanya watu waamnia ni Bongo.
Siyo nzuri
 
Hilo basi limefanana na la Mohamed Trans!
Mwanzisha mada hakujua kama hapo sio Bongo au kusudi tuu!!
 
Back
Top Bottom