TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
- Thread starter
- #21
usiwe kujifanya unajua wewe siyo lazima uposti kitu hata kama huna wewe umetembe mpaka wapi? eboo kaa kushoto na hasira zako
Taratiiiiiiiiiibu naona unaishiwa points.:becky:
usiwe kujifanya unajua wewe siyo lazima uposti kitu hata kama huna wewe umetembe mpaka wapi? eboo kaa kushoto na hasira zako
shukrani CCM, tupe zingine ambazo zimetekelezwa na mimi naanza wanajamvi mnaweza kuongezea ambazo hazitekelezwa, yaani ahadi zilizotelekezwa:
1. daraja la kigamboni
2.
3.
4.
5.
6.
shukrani CCM, tupe zingine ambazo zimetekelezwa na mimi naanza wanajamvi mnaweza kuongezea ambazo hazitekelezwa, yaani ahadi zilizotelekezwa:
1. daraja la kigamboni
2.
3.
4.
5.
6.
unajua,hii mambo ya kuweka ma boat kwenye mto mdogo hivi na distance fupi kama hivi umepitwa na wakati.yaani we fikiria hayo mafuta ye feri,maintanance yake,na mambo mengine kwenye long run ina cost sana.mbona tusiamue tu daraja lijengwe hapo,ambayo haita cost sana,compared to long run ferry use.mbona sisi watanzania tunapenda maisha ya kuteswa?kuna daraja za kilomita 2 na zaidi,tushindwe haka ka mita chache?pls,tanzanians,wake up.na hapo kwenye picha hizo paa,zinaonyesha kabisa umaskini wa kutupwa wa tanzaia.
2. Bajaji za kubeba kinamama wajawazito, Aliahidi 2005, hajatekeleza, ameahidi tena sasa hivi!!
Una details za project ya Kigamboni Bridge???
refer to ilani ya uchaguzi ccm 1995, 2000,2005 and 2010.
Nipe quick link kaka
acha misamiati yako ya kijiweni wewe, kwani aliyekwambia mimi natokea mbeya nani? au ndo unawasilisha matangazo kuwa na wewe ni miongoni mwa kina Pro. maji marefu ama?View attachment Tanzania National.mp3Anyisile acha hasira ya maisha, suala lilikuwa ni ahadi za CCM na kivuko cha Pangani, tunajaribu kukurudisha ndani ya mada, Mbeya unatokea sehemu gani? tunachojaribu kuongelea ni jinsi CCM inavyochangia kuangusha meandeleo ndani ya nchi si uzuri wala ubaya wa sehemu, nijuavyo mimi Pangani ni pazuri tu
kweli mkuu,unajua,hii mambo ya kuweka ma boat kwenye mto mdogo hivi na distance fupi kama hivi umepitwa na wakati.yaani we fikiria hayo mafuta ye feri,maintanance yake,na mambo mengine kwenye long run ina cost sana.mbona tusiamue tu daraja lijengwe hapo,ambayo haita cost sana,compared to long run ferry use.mbona sisi watanzania tunapenda maisha ya kuteswa?kuna daraja za kilomita 2 na zaidi,tushindwe haka ka mita chache?pls,tanzanians,wake up.na hapo kwenye picha hizo paa,zinaonyesha kabisa umaskini wa kutupwa wa tanzaia.
1. Kivuko cha kigamboni (kipya +ukarabati mkubwa wa vingine)shukrani CCM, tupe zingine ambazo zimetekelezwa na mimi naanza wanajamvi mnaweza kuongezea ambazo hazitekelezwa, yaani ahadi zilizotelekezwa:
Wacha dharau wewe...
????bora uwaambie kaka! hawa wabeba mabox! ..
bora uwaambie kaka! hawa wabeba mabox! ..
Kaka mbona Mbogo.mie wife kwao huko wala sija hamak,iweje wewe...kulikon yakhe!!!!!!!!!!!tatizo lako nadhani hujatembea , Pangani ni mji wa kihistoria na ni pazuri hapo unapopaona ni Bweni mto Pangani unapoingia bahari ya Hindi, sina jazba unanishangaza unapouliza bwawa la taka linahitaji kivuko sasa huo tuite ushamba au dharau?
Anyisile kajibiwa vema...nawe usiwe mbogo....!!!Kaka mbona Mbogo.mie wife kwao huko wala sija hamak,iweje wewe...kulikon yakhe!!!!!!!!!!!